@chamack99_: Ila hawa wadada saa nini kuyaleta mtandaoni ! #fyp #viral #bwege #relationships #explore

chamack99_
chamack99_
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 16:51:54 GMT
306201
24986
587
3282

Music

Download

Comments

jescar263
bestar💖 :
unJua wanaume wanajifanyaga sio wambea ila mi nahis wametuzid had sisi😂
2026-10-02 17:58:33
852
rahmamwanga82
rahma 💫🌹 :
Et weka loud speaker 😂😂😂
2026-10-31 15:32:28
0
mkaka_54
kaka D :
Welcome to university of Tiktok, I study watchology. What do you study?😂😂
2026-10-04 06:54:15
9
zailissa199
Zaihy❤️ :
Mi nilipigwa kofi la kichwa kasabab xjaeka loud spika niliumiya
2026-10-03 04:36:27
261
rayme0819
Rayme💕💫 :
Mbona watu mkikomenti mnasema wangu wangu😳 na mnasemaga mko singo😂
2026-10-03 12:24:04
140
anchayazide2025
anchayazide2025 :
mm.napenda mwanaume wahivi hadi raha🥰🥰😂😂😂😂
2026-10-03 06:14:32
210
brendamsechu5
brendamsechu5 :
Eka loud speaker 😂
2026-10-02 19:17:57
95
rehemazakayo880
reyc jimmy :
naonaa humu ndan watu woteee wameolewaa isipokuwa mimi🤣🤣🤣🤣
2026-10-03 11:24:22
56
sally.juice
sally juice :
wangu anakupora sim anawek loud mwenyew🤣🤣
2026-10-03 11:35:30
10
alyah5489
🅰️ly@h🦋🌀 :
me mpenz wangu amezdi aliniamsha saa 7 usiku nimuone babaake kaopoa bint wa chuo😅
2026-10-03 08:18:07
40
tullahiyahdickson
Bubble Queen 👑 :
weka loudspeaker [Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-02 19:04:07
18
ruuhoutfits12
🦋🫧ruuh 🦋babe🫧🦋 :
Huyu kelvin wangu kabisaa mbka ana mind 😁😁
2026-10-03 07:38:38
9
queen.norah80
queen.norah80 :
🤣🤣🤣🤣 nmenifany nimemkumbuka ex wangu
2026-10-02 21:25:52
6
zalha5310
zalha Aqmar :
kumbe wapo wengi😁😁
2026-10-02 20:03:57
12
rachaelmwita118
❣️💓Am rachael🥰💞 :
leo humu kila mtu mpenz wake mmbeya ila TikTok jamn ikija mada ya single kila mtu yupo single khaa nashindwa kwelewaaaa 😂😂
2026-10-05 14:05:29
8
mom.gift4
mom gift💞💞💞 :
nikazani mme wangu2 kumbe wengi
2026-10-03 06:04:23
12
mrsceltic
Swaumu omary :
mm wangu ananiuzi anajifanya mshauli mwema apendi ugomvi wakati mm ndo vitu vyangu na kila akinishauli lazima jambo langu la shari liharibike 😂
2026-10-03 06:32:15
7
feynar
feynar mursary :
mm wangu anaweza akagonga had mkono na hajui nn kinaendelea😂
2026-10-03 06:24:15
5
user3132611296237
Mrs hubby :
Mimi na Mume wangu kabisaaa
2026-10-03 07:55:54
5
ruthapqxvi6
Last Born :
huyo ni mume wangu jaman hata akichelewa kurud nyumban ataniamsha nimpe umbea vizur ana kwa ana wa kwenye cm yeye anasema hiyo ni INTRO TU
2026-10-03 07:54:17
5
user7612246563755oneday
mysala💕🔐🩷 :
Bora boyfriend Kuna Mimi na boss Wang akiamung Kuna siku tutapigwaa [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 21:01:31
7
malkia_storetz
Malkia_store🛍️🎀 :
Nilikuwa nae wa ivi wakanirogea 😂
2026-10-03 14:24:30
4
mrszack05
dearzack❤️ :
wangu unakuta hatuna hela ila umbea uwiii[Tears of joy]
2026-10-03 19:29:49
1
dopegi_rillymaize
ladyy._nana🥰💖 :
mungu tupe watu km hawa tuchkek😂😂😂
2026-10-03 12:10:09
2
chimamy.emmy7
Chimamy Emmy :
daaah huy ni chibaba Wang kbs
2026-10-06 10:17:12
2
To see more videos from user @chamack99_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About