@cwgchiwaga: Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, amemuagiza Waziri wa Nishati, Dk. Juma Homera, kuhakikisha wananchi wa pembezoni mwa miji wanaishi katika mazingira yanayofanana na vijijini wanaunganishiwa umeme kwa Sh27,000. Ndejembi amesema si sahihi wananchi wanaoishi katika mazingira ya vijijini ndani ya mipaka ya miji kutozwa hadi Sh300,000, wakati wanaoishi upande mwingine wa mpaka wakilipia Sh27,000. Amesema hatua hiyo itasaidia kuongeza upatikanaji wa umeme nchini na kufikia malengo ya Taifa, ikiwemo utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2050. Credit #eastafricatv#eat
CWG DIGITAL
Region: TZ
Friday 02 October 2026 17:01:46 GMT
Music
Download
Comments
MKENYA FILM :
huyu ndiyo kiongozi safi
2026-10-02 19:01:09
2
mr ochu :
shida ya umeme utakua na ham ya kuvuta ila sas utakapo kua unaweka 5000 unapata unit 10 ham ya umeme inaishia hapo hapo au Jirani Yako akiweka umeme wa 5000 anapata unit 42 inauma
2026-10-02 20:41:05
1
kise :
ndejembi mm hatujazania jamani
2026-10-02 21:50:39
1
dotto msigwa :
kama naaza kukuelewa hvi mkuu
2026-10-02 19:08:56
0
Raphael Jacobu :
mbona utakua umetuokoa sana kwenye ilo
2026-10-02 20:48:54
1
fabby Delima :
hapo sawa 🙏🙏🙏🙏
2026-10-02 19:16:53
0
Really ham :
wala hapo sijaona point kubwa.
kuna watu wanaishi kijijini kama asemavyo lakini wanauchumi mzuri kuliko mtu anaeishi ndani ya manispaa au jiji au mji.
2026-10-02 22:38:23
0
user9276234449752 :
mkuu mimi nilifanya waring mkuu wakati huo umeme kuunganishwa 27,000 nilipambana kujaza fomu lakn sikuwaelewa majamaa wa tanesco kumbe walikuwa wanataka rushwa walinichelewesha tu kwa makusudi mpaka mheshimiwa rais alipobadilisha mpango huo siku tatu baadae ndo nikatumiwa kuulipia 321,000
2026-10-02 19:09:02
0
Adam :
Baba upo vzr sana
2026-10-02 20:50:55
0
chaula270 :
hongera kiongozi wetu
2026-10-02 18:48:14
1
marimar :
Unakuja vizuri mzee
2026-10-02 23:14:47
0
devotha :
Baba mwendo huohuo usipunguze wala usirudi nyuma tusaidie baba
2026-10-02 21:06:24
0
Lilema_tv :
huyu raisi anamuosha sio vizuri
2026-10-02 21:27:32
0
Ezron Manghundi :
nakuombea uraisi
2026-10-02 21:14:02
0
William Mwambyale :
huyu ndie mtu ambae tunamtaka kwenye inch yetu ya tanzania sio kutumia nguvu nimeamin uongozi ni karama hongera saaana mweshimiwa MUNGU akulinde pamoja na rais wa jamhuri ya tanzania
2026-10-02 21:22:23
0
Godfrey Paul :
punguzeni bei ya umme
tuwena umeme wengi serikali ipate mapato safi wananchi tufurahie
2026-10-02 20:47:32
0
said ruganzo :
mkuutusaidie wengi tunakosa waktatua matatizo yet
2026-10-02 20:38:20
0
MKUBWA KILEPA :
jambo la busara sana anzeni na kimanzichana eneo la kilimahewa tunamahitaji ya umeme
2026-10-02 17:22:25
0
Kitengai Masangari :
muheshimiwa nimekuelewa sana tu
2026-10-02 20:29:53
0
Tssabdun :
hii ndio maana ya umakamu wa uraisi yaani inakuwa kama raisi kutatua changamoto za watanzania.huyu jamaa ni raisi kabisa ajaye yaani sijui alikuwa wapi siku zote.
2026-10-02 21:43:40
1
kavishekavishe3 :
kiongozi huyu Mungu akutangulie, maana ni mzalendo kabisaa na ana Nia njema na wtz
2026-10-02 23:38:36
0
Emmanuel Mwanandota :
mkuuuu ukekuja vizurii
2026-10-02 20:30:16
0
user22699633672 :
pambana kaka ipo siku utaeleweka tuu kweli sura sio rohoo kwakweli mwenyez MUNGU Kulinde tu kwakila heli na shari
2026-10-02 20:35:15
0
Amosi Haule :
ok kiongozi shikilia hapo ili tuonje uhuru wa bwawa la nyerere
2026-10-02 20:32:47
0
To see more videos from user @cwgchiwaga, please go to the Tikwm
homepage.