@zanpresidentupdates: Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza katika dua maalum iliyofanyika Afisi za CCM Kisiwandui leo, tarehe 02 Oktoba 2026, kuwaombea na kuwakumbuka waliotangulia mbele ya haki, akiwemo Marehemu Mzee Hafidh Ameir Hassan na Marehemu Mama Fatma Karume. #zanzibar🇹🇿 #fypviral #fyp #tanzaniatiktok