@millardayo_: Msanii Harmonize leo Oktoba 2,2026 ametolea ufafunuzi kuhusu video inayosambaa mtandaoni akiwa na mnenguaji wa wimbo wa KUDOS anayesemekana amechukua pesa kwenye kadi yake ya benki na kufanya matumizi. Akizungumza mbele ya Waandishi wa Habari, Harmonize amedai kwa Upande wake hana shida na Mtu na hana mahusiano na Mnenguaji huyo na kwa sasa amejikita kufanya kazi zake za muziki tu na sio vingine. "Suala kama hilo sitolielezea kwa sababu Watanzania wakiona Mtu humble kama mimi lazima waniseme na kuumia, sio kila kitu tuweke hadharani kuna vitu vingine lazima tukae navyo what if ukija kuona baadae kuna KUDOS Screen vision ?hamna kilichotokea,”. #MillardAyoUPDATES

millardayo
millardayo
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 17:48:27 GMT
58052
3815
48
25

Music

Download

Comments

veeofficial46
Am -Vicky 💞 :
ila Harmonize🙌😂
2026-10-02 22:29:00
0
father_bernard10
𝗙𝗔𝗧𝗛𝗘𝗥 𝗕𝗘𝗥𝗡𝗔𝗥𝗗⛎ :
leo nimekuwa wa kwanz
2026-10-02 17:51:33
26
anily_shalom
@anily_shalom :
humble guy🔥🔥🔥🔥 Konde
2026-10-02 20:23:23
1
angelmazola5
Angel Mazola :
Freee Harmonize
2026-10-02 19:04:21
0
lee445421
lee :
jamn mntanistua zikijaa basi nimewahi mno🥹🤣🤣
2026-10-02 18:00:37
5
alexmajaliwa0
lnno@ cent🤗 :
Nakubali 🫡
2026-10-02 17:54:13
4
jeremiahsephania
Tonny Vitalii :
nataman harmonize upige ngoma na mwamba
2026-10-02 18:06:14
3
omaryally543
SWAGGER DON :
Imekaa poa sana😁😁
2026-10-02 17:55:01
3
prudent.mr
MR PRUDENT :
wekaaaa
2026-10-02 17:53:01
3
zachary.dominico
zacharydominico1 :
unaweza kuimba brother nakukubali sana
2026-10-02 19:45:30
1
mbuto45
mbuto de 🤴 👑 :
nilitaka nicomment mm ndo wa kwanza tayar washa comment
2026-10-02 17:56:26
1
nayrah361
NAYRAH🌺 :
Afu unavosema huko kweny mahusiano inamaan ndo umemuacha bi Amarah kwelii dah hili limeniuma sana🥲
2026-10-02 18:32:43
1
harmonize.wa.bei.y
harmonize wa bei yajioni :
umenyosha mzee konde🙏
2026-10-02 22:30:53
0
user8111305911739
konde kenida :
noma sana konde
2026-10-02 21:12:40
0
ungarobotz
Ungarobo Tz :
2026-10-02 20:21:57
0
tiktok.comhappycute8
kipepeo-🦋❤️🎥 :
haupo kwenye mahusiano je kajala
2026-10-02 20:56:08
0
sahim.sule
SULE :
Ndio maswali gani ya kumuuliza msanii yani hayana challeng
2026-10-02 20:52:18
0
nevadacee4
NEVADA👾🐝 :
Kudus 🔥
2026-10-02 18:56:26
0
benjaminkamani
ng'wana eliza❣️ :
ila harmonize ety kwan kunaubaya gan ila kwer hamna ubaya me mwenyew napenda🤣🤣🤣
2026-10-03 01:42:36
0
immaliano.jr2
🙆‍♀️ :
2026-10-02 19:44:17
0
mpiahtz
mpiahtz—🧢 :
Noma sana konde
2026-10-02 20:08:30
0
reynoxa_
reynoxa_ :
jeshi amenyooka sana gonga like apo
2026-10-02 17:55:07
6
pachino.cannabino
Pachino Cannabino :
2026-10-02 17:52:33
4
amani9b
maarifa kazi :
Ila konde yule Dada kama umemuacha I I ivi bac
2026-10-02 17:57:43
1
clement.junior5
Clement Junior :
kakondaaaaaaaaaa
2026-10-02 18:12:27
1
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About