@ufr_tz: Rais wa shirikisho la soka nchini Tanzania (TFF) Wallace Karia (@wallacekaria) amezungumza na Frankmnubi kuhusu ukweli wa sakata wa wachezaji wa timu ya soka ya Yanga kuondoka katika kambi ya timu ya taifa ya Tanzania. Karia ameeleza kuwa hakuna ukweli kwenye hilo na amesema kuwa timu za Simba, Yanga na Singida Black Stars ziliwaomba wachezaji wao nawao wataruhusu wachezaji wa timu hizo baada ya mchezo wa kirafiki Dhidi ya As far Rabat kumalizika. 📻 Sikiliza Uyui FM Radio popote ulipo duniani, bofya kiungo (link) kwenye bio yetu. #uyuifmradio #tunasambazaunyamwezi #Fanikisha #radioyetusautiyetu
Kweli yanga ina maadui wengi kha yaan baada wangoje viongozi waseme wao wanajisemea tu wanashitakiwa kwa MUNGU YANGA BINGWA
2026-10-03 06:55:05
7
hamza-19 :
umeshindwa kusimamia mpira wa Tanzania
2026-10-03 06:01:17
1
sherry_me3 :
Jinsi wachambuzi wanavowachukia Yanga team zote 3 zimeomba ila kaonekana yanga peke akake
2026-10-03 06:55:11
5
FM :
siku nyingine wasiitweee woteee
2026-10-03 05:57:17
2
seydou side :
Shirikisho ni Taasisi Inamuachia mungu mmmmmh ndiyo maana wachambuzi wanaweza kuongea chochote Hana ha kufanywa... TFf hawamuachi mungu kwenye faini tu
2026-10-03 07:00:50
3
user2165564933466 :
Rais upo sawa
2026-10-03 05:47:46
4
evancefesto18 :
Kuna heavyweight Dullah
2026-10-03 05:42:41
1
user3285823772985 :
Ushabiki Vilaza unawaponza baadhi ya waandishi
2026-10-03 05:55:54
1
Sophy :
ila
2026-10-03 08:07:43
1
user711235653081 :
Hamkusu mpira jaman wa time ya taifa
2026-10-03 06:35:33
1
erickkejo1 :
kitu sijaelewa wachezaji wa Taifa stars wanakatiwa ticket na vilabu vyao🤔
2026-10-03 11:13:56
0
maytham :
Vizuri wanapenda kutusema yanga tu
2026-10-03 08:23:08
0
Mwinyi Hussein :
Raisi Karia Hongera tuko pamoja
2026-10-03 10:14:55
0
khany ahmed :
Huyo jemedar haipend Yanga,Anachuki zake dhidi ya engineer
2026-10-03 09:12:13
0
ramadhani :
kwahy kutoa wachezaji kambini unakuza mpira sy
2026-10-03 08:56:57
0
HAFAI KUITWA MKE :
Hii siyo kukuza mpira bali ni kuzoofisha mpira
2026-10-03 05:47:27
0
Binarah Hassan :
jamani
2026-10-03 05:19:02
0
MSANGI :
chuki ya jemidai kwa yanga ni mbaya sana
2026-10-03 07:05:22
0
Edi :
kwanini timu isikatiwe na chirikisho
2026-10-03 07:00:17
0
Rowland Swai :
hongera kwa ufafanuzi mkuu
2026-10-03 12:44:54
0
kerewe boy :
Sema ukifatilia..utaelew kuw Hao wat wanaopinga yanga kutobeba wachezaj..lengo lao wanatk ipoteze mchezo unaokuj sbb wachezj mhm wa yanga hawpo kamb wapo nje ya nch Si wanatk waendelee kukaa huko wachez waje wakiw wachovu ili wasifanye vzr kwny derby ndio maan imewauma san yanga kuomba wachezaj...
2026-10-03 07:40:50
0
Naser Nassor :
N jomba Nchumali
2026-10-03 08:09:25
0
Afrika :
na kwanini waombe wakati wako kambi?
2026-10-03 08:09:18
0
Shey_vipodozi :
waandish wa habar n wamekuwa wambea wambea tuuu [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy] yan muda wote n kuongea uongo ili kuharbia wenzaoooo
2026-10-03 05:42:42
1
To see more videos from user @ufr_tz, please go to the Tikwm
homepage.