@rannyproducts:

Ranny products
Ranny products
Open In TikTok:
Region: KE
Friday 02 October 2026 18:46:34 GMT
95216
4069
264
568

Music

Download

Comments

lenayoshua
Nana :
Why isn’t hard to understand and accept that when a man marries a second wife,he no longer wants/value the first wife?…
2026-10-03 18:39:23
37
ashsahmed
eysha413 :
men nowadays they dont care hata umfanyie nini bado tu wakona madharau
2026-10-03 04:38:24
36
mwanatumumashisaid
Mama la kipwani Mc002 :
Dadangu haki uko mbali lakini mm pia ninayo pitia Allah ndiye ajue sisemi kitu Allah kweli kabisa 😭😭😭😭😭 yaniuma mpk kesho Allah ndiye atakaye nilipia
2026-10-03 03:51:55
68
aishambeto396
Aisha shee abdullah :
ndoa za zama hizi ni mitihani.waume wenyewe ndio wanagonganisha hawa co-wifes
2026-10-03 20:18:57
17
carrie.97
Carrie :
thanks for talking on behalf of thousands ,mungu akuzidishie
2026-10-03 08:00:11
7
jaylovescakery123
Jaylovescakery :
my mama ilibidi ajitoe kwa hyo toxic marriage 9 years back. alhamdulilah shes gain her peace rn
2026-10-03 05:08:48
12
shamim34656828n
shamy :
men nowadays they don't care anymore
2026-10-03 06:31:49
16
yasmine.salumu47
Yasmine salumu :
true true my sister
2026-10-03 17:49:36
1
kilahatuadua89
KILA HATUA DUA💥💥 :
umeongelea kwa niaba ya maelfu
2026-10-03 07:46:29
12
shufaa.mfaume
Shufaa Mfaume :
mm mume wangu anamdhurum bi mdogo yaani ninashindwa hata kuelewa
2026-10-03 16:05:03
7
khadeejahkhamicje
Khadijah cholla🌹🌹🧿🇸🇴🇹🇿 :
Wallah dada nitakutafuta MashaAllah nikekupenda sana bule dadayangu Allah akulipe kher kwa dunia yako na Akher yako. Allah humma. Barick
2026-10-02 20:53:54
16
prime.of.success
Hamza Hassan :
True fact
2026-10-03 19:43:38
1
user6295148319660
user6295148319660 :
mm mungu atanilipia hapa duniani Hadi akhera
2026-10-03 05:43:53
21
rannyabuu
Ranny Abuu♥️ :
subhallah you are talking about a reality life kabisa
2026-10-03 14:19:55
3
salmasalim278
user1889306736651 :
very true
2026-10-03 09:44:34
1
mwanawamashoka
munirah Hassan :
true dada
2026-10-03 15:43:26
2
sherry.nyange
sherry nyange :
Toka Nina mimba ya mezi Saba mpk now mtt ana mezi 8 haji zamu ukiulizwa eti karogwa na bi mkubwa ndo anashangilia mim nishashukur iv nadai talaka mpk nimechoka
2026-10-03 16:51:01
5
sheymaa.nasser
Sheymaa Nasser :
Nimeolewa mke wa tatu sihitaji zam ikiwepo sawa isiwepo sawa.Nishatendwa namume wangu wakwanza kwasasa ALHAMDULILLAH mandhari sizini basi.
2026-10-04 05:53:47
8
queen_muu_67
queen_muu_67 🇨🇦🇹🇷🇹🇿 :
fact tupu Allah akujaze kher kipnz
2026-10-02 21:43:18
7
habesha254
Hawo Hussein389 :
finally someone gat the courage to talk about this,thank you siz yangu ntaongea na mungu tu
2026-10-03 05:42:56
8
mum.herliyam
HERLIYAM :
shukran dada kwa kutuongelea hii imekuwa too much sasa
2026-10-02 21:14:12
8
his.queen779
His Queen :
MashaAllah walai ukweli kabisa… I witnessed this a woman
2026-10-02 19:29:46
5
saumu.said0
Malkia wa subira :
waambie ukweli dada,wanadhulumu wanawake sana.
2026-10-03 02:41:54
6
mamufasion
mamufasion :
nimelia mpaka sasa nimeamsha maradh y presha nimeondoka ni memuachia huyo wa pili
2026-10-04 08:16:55
2
saumukaisi
Mkorea :
mashallah 👏
2026-10-04 03:23:27
1
To see more videos from user @rannyproducts, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About