@mange_kimambi: #goviral #fyp #tiktoktanzania🇹🇿 #tiktokusa🇺🇸

mange kimambi🇹🇿🇺🇸
mange kimambi🇹🇿🇺🇸
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 18:52:39 GMT
122086
6023
189
486

Music

Download

Comments

mopa.beat.officia
MOPA BEAT official :
achana na hayo mi nakupenda
2026-10-02 20:54:18
34
fi.ni.ty
geniutic :
hii nchi kama muvi za netflix 😂😂
2026-10-02 21:55:01
6
missyswarts5
missySwarts :
Me I don know what u talk
2026-10-02 20:59:46
1
ray4cus
ray4cus :
Honeypot!
2026-10-02 23:58:19
0
kinoko68__ke
Ennie :
Nchimbi, Nchemba tofauti ni i,e
2026-10-02 20:04:04
34
mayala.zebedayo
MAYALA ZEBEDAYO :
Kwan kinaongerewa nini[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-02 21:40:39
0
eliybrown123
M23,Eliy-Brown :
we umejuaje kua waO wanazo
2026-10-02 20:47:11
12
bwatamu_senior
BWATAMU SENIOR :
Kwani Nchemba aliteuliwa na nani kuwa waziri mkuu mpk sasahv wahangaikenae kumtoa, nashindwa kualewa 🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️
2026-10-02 20:38:23
9
nicholauslutaha61
MR.OP⚠️🚨 :
dah umekuwa mrembo🥰🥰
2026-10-02 20:16:37
12
rahulkser02
rahul :
vidada vyembamba viongo atari😅
2026-10-02 21:23:36
5
peters718
peters718 :
Agome tu waziachie,mambo yatapita
2026-10-02 19:38:57
23
joy300949
joy :
wee naee😁😁😁
2026-10-02 20:18:12
0
shekihiyo.jr
shekihiyo jr :
mange mbona we mzuri jamani kwann usingeachana na hayo mambo
2026-10-02 20:40:28
12
mubaa_24
Mwamposa_pablo :
waziri mkuu hawezi kugopbania uraisi kwa mujibu wa katiba ya tanzania au nimikosea kwa ufaham wangu
2026-10-02 20:16:50
6
godfreygodfreykas
Godfrey Godfrey kashaija :
bigup sster mange
2026-10-02 20:13:38
1
davex976
Davex :
Sipuuzii maneno yako,.maana hata ya Nchimbi yalianza polepole na mlkuwa mnatuhabarisha na mwisho wa siku ikawa kweli. Hakika hii nchi inapoteza mwelekeo wake.
2026-10-02 20:39:32
16
mkabulu7
mkabulu7 :
unaakili sana ww dada, una waza mbali sanaaa
2026-10-02 20:33:57
6
user2927452873958
style aminifu :
mi nikiona walioko ndani wanatifuana🤣🤣natamani nione izo video ili nione kwelii🤣🤣ila mi natamani hii nchi itulie kila mtu ajue umuhim wa nchi yetu
2026-10-02 20:40:55
7
conquerorsimba
user2578181386117 :
mange unaskili sana nakupenda sana mungu akutunze
2026-10-02 20:39:09
7
new.life5050
japanlife :
Mungu yupo na SS zile damu za mwaka Jana haziwez kupita ivi ivi kamwe!
2026-10-02 19:43:43
5
dar.2024
Dar 2024 :
yaani mimi sijaelewa aliyemteuwa mwigulu ni nani alafu tena samia atumie sijui njia gani ili kumuondia si kama anataka kumuondoa anavunja tu balaza la mawazir ..mambo mengine sio ya kusikiliza isee
2026-10-02 22:00:05
1
marie001culture
Maria🧸💕🥀 :
Sasa mtu asikorome jmn 😂🤣🤣
2026-10-02 22:05:35
3
noni_maokoto
Hermany Noni :
Mange yupo mbele ya muda sana🔥🔥🔥
2026-10-02 22:04:32
3
thadeomwati546
thadeomwati546 :
VIP kuhusu Rachel Dangwa? tupe update zake
2026-10-02 23:22:49
1
To see more videos from user @mange_kimambi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About