@nabiiwandoto:

Nabii wa Ndoto.
Nabii wa Ndoto.
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 20:00:57 GMT
128652
6209
245
316

Music

Download

Comments

elizabethjoyy1
ELIZA :
ni kweli kabisa mtumishi. nimekua naota ndoto na zinatimia kw kweli.nilipoanza kumwambia babangu wa kiroho ata ckuizi sioti ata ndoto ya kawaida🥺🥺🥺
2026-10-02 20:07:49
10
faith.masila06
Faith Masila :
amina nimeota nikivua samaki
2026-10-03 13:28:07
0
vabraandrew001
Vabracandy🍬🧁 :
Baba nahitaji msaada,, ukiota ndoto umekonda maana yake ni nn
2026-10-03 14:37:40
1
cate89990
cate :
lakini naletewa mafumbo
2026-10-26 19:28:41
1
aminahmusa17
aminah :
niliota nimezaa twins....na hio ndoto ilitimia after 2years
2026-10-03 18:55:21
7
user9429093995903
2026-10-03 12:42:23
0
dubekasuga639
Dube Kasuga :
mbona mie siot lakn live niklisema jambo linakuja kuwa
2026-10-14 19:58:36
3
user3188681477383
esta udamwa :
Na mimi na ota sana mbaya ndo zinatokea ila nzuli hazitimii baba nini shida ajali kugombana zinatokea kweli baba
2026-10-02 20:13:32
6
kizaalexandr
kizaalexandr :
ameni🥰🥰
2026-10-03 07:57:20
0
sinkamber.j
mom💝rachel,ivan,&rich :
je ile yakukosa raha na akili inakwambia kabisa kuna shida sehemu fulani na kweli linatokea huwa inakuwa nini
2026-10-03 18:26:01
0
bahatimwapongo05gmail.c0
Bahati Mwapongo :
Amen mtumish
2026-10-07 22:04:44
1
rosengendo879
billionaie mamah :
mimi nikiota ndoto mbaya inatimia lakini nzuri haitimii
2026-10-03 20:50:48
3
user3943495190652
patience kavira :
asante baba kwa kunisaidie kwahilo
2026-10-03 08:21:48
2
fayohmlastbon0013
@Royal baddie 📌 📌 :
kweli wanchukua nyota
2026-10-04 15:27:48
1
bonge.d.t.com
mama kuku igawilo muza mayai :
amina nikweli
2026-10-03 04:27:55
1
bienaimembafumoja
Bien aime Mbafumoja :
Nachukuru kwama fasiriyo pasta
2026-10-03 11:13:17
1
user5094611954355
user5094611954355 :
amina
2026-10-14 07:40:18
0
janny8481
Dorcas 🙏 amen💎🍯🦋🫂 :
Amen
2026-10-10 10:54:18
1
userpapi_solo
userpapi_solo :
amen
2026-10-03 07:21:25
1
lulumbunda5
lulumbunda5 :
Mimi huwa naota na inatokea sasa ikitokea ndy nawaza jmn niliota
2026-10-03 18:58:40
2
monicamanota
Monica Manota :
nzur hazitokei ila mbaya ni kesho inatimia
2026-10-03 00:27:15
1
user4295324343736
user4295324343736florence muki :
mmmmmm🙋
2026-10-02 20:33:05
1
agnessyokau380
Agnes. :
Mimi uota Jambo na inatendeka au naiona live .
2026-10-03 04:18:36
1
user6520183405578
Kevo :
Asante Mtumishi nmepataufahamu
2026-10-03 07:32:48
1
user8343715065545
La reine :
Amen Amen papa pasteur
2026-10-03 07:48:02
1
To see more videos from user @nabiiwandoto, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About