toka October 29 vichwan wote hatuko sawa[Tears of joy]
2026-10-03 13:29:21
2
Jackline ๐ฅ :
Nilikua nachezesha mambo ya mume kumtesa mkew jaman naona yale yoote niliyo kua nayachezesha yamenirudia ๐๐๐
2026-10-03 11:10:08
109
user6556344816123madame angel :
sijajua umewaza nn sissy but salute aisee umenkumbusha mbal
2026-10-02 20:21:31
0
nusra :
Hapo mnakuta mpo kama watatu mnachezesha ila ukimsikia mwenzako amewazidi mnaacha kuchezesha mnaenda kumsikiliza yeye na vitu mlivokuwa mnachezesha vyote mnampelekea aongezee๐๐๐๐
2026-10-03 08:53:48
196
prissy aggy06 :
adi Leo natamn niendelee kuchezesha sem tu ndo ivoo๐๐๐๐
2026-10-03 11:00:14
19
clarvee๐ :
daaa mic much
2026-10-03 19:07:50
0
Rachelโค๏ธ :
Umenikumbusha mbali kuna huyo mdada tulikuwa tunasoma nae alikuwa anajua hatari ani daah ๐๐ akiweka na uongo sasa ni balaaaaaaaa๐๐๐๐๐๐
2026-10-02 21:04:31
39
Vidah Africa_998 :
next part jamn๐ ๐
2026-10-03 15:37:33
0
Kinanagi :
I guess nilikuwa the best kwenye kuchezesha๐ ๐ ๐
2026-10-03 08:05:06
23
charmhaven_jewery2 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]Dah I was the best in this
2026-10-03 18:51:11
0
mrs chuson :
Hii dunia ukiwa na mawazo umejitakia
2026-10-03 15:30:27
8
Kiki :
twafaaaa๐คฃ
2026-10-03 18:53:23
0
ayshaโค๐ :
umefany nimkumbe rafik yang johari wa primary
2026-10-03 07:00:58
11
BizzyDaughterโค๏ธ :
alo nimechezesha sana nimeacha nikiwa form one๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
2026-10-03 07:27:55
16
bby swau :
michezo yangu iyo mmi na mwanangu namchezeshea anapenda vipi
2026-10-03 10:17:32
7
Ticial๐ธ :
๐คฃ๐คฃ๐คฃIla kuchezesha
2026-10-02 20:21:20
5
Whitney :
Disappointed
2026-10-03 16:46:05
0
it's Lindy :
umenikumbusha mbali nilikuwa na rafiki yangu Lucy nilikuwa anavyo chezesha hivy tu tukigombana tu anajua Mimi napenda hiy michezo bhas nilikuwa naumia sana