@mr_othman_tz: #sheikhe_muharam_mziwanda

MR.Othman_tz📢
MR.Othman_tz📢
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 02 October 2026 20:35:41 GMT
19801
1211
32
50

Music

Download

Comments

americona2
Amir kone :
Sheikh wenye Fiqhi zao na elimu zao wamejichimbia misikitini tu wakati huku kwenye mitandao kuna uharibifu mkubwa wa sheria za Uislamu. ubaya wa mambo kwenye mitandao kuna hadhira kubwa ya vijana amabo wanajifundisha dini jambo ambalo linapelekea vijana hao kujipatia elimu ya dini isio sahihi.
2026-10-03 04:56:44
3
amb11360
Amb :
inaruhusiwa si tumeambiwa wakichinja ahalulkitaab tunaruhusiwa kula???
2026-10-03 04:47:37
2
user16304555460818
user1630455546081 sada chuma :
huenda mziwanda anataka kutuacha maana sa kwa kunawiri huku Allahu Akbaru maana huwa wanasema mtu akinawiri sana ana muda mchache sana duniani mung akuhifadhi Shekhe wetu twakupenda kwa ajili ya Allah
2026-10-03 04:10:41
2
bakarihemed849
YAA DHALQUWATIL MATIN :
Asalam Aleykum? Mmmmh Kwani Neno Mungu ni Lugaha gani Imetumika ?na Allah sw Imetumika Lugha ipi?
2026-10-03 05:06:58
1
abbasisharifu1211
AYWAAA ONLINE TV :
hakiika hua nakuelewa namuomba ALLAH SIKU moja niwe mwanafunzi wa huyu sh
2026-10-02 23:17:35
3
user38234431161821
jambojoy :
sheikh Mziwanda,Bingwa wa lugha na mwalimu mzuri wa kufahamusha Hata mjinga hawezi kuacha kuelewa darasa lako na ufasaha wa maneno,Mashallah Leo nakumpogeza kwa kupendeza na kunawiri kwa sura na moyo,kinyozi kakurembesha na kofia ya thamani,mzuka wako sheikh ,napendelea muongezee mathna,unafanya mabanati na mashangazi wafe kwa laiti na wanakupenda pasi kifani.
2026-10-03 00:46:03
3
mkuraishi21
Mkuraishi :
hili balaa
2026-10-02 23:41:49
0
allyurembo735
Ally Urembo :
huyu mtu anajuwa paka basi
2026-10-03 03:41:14
1
adijagwaje431
Hadija G :
SUBUHANA LLAH
2026-10-02 20:53:36
2
mawakah_april26
ابن موك.👳‍♂️.٢٦ :
Sheikh Maalim Mziwanda 🔥🔥🔥🔥
2026-10-03 07:53:08
0
mwinyihussein1
mwinyi hussein :
Kaka tatizo bakwata
2026-10-03 05:29:54
0
fasbilywanyama0
fasbilywanyama0 :
Mashaallaah
2026-10-03 03:39:09
0
mtupa44
MTP FASHION DESIGNER :
Hatari sana
2026-10-03 03:38:41
0
zfdctv
ZFDC TV :
Hao Bakwata wapo wapi? Mufti ana kazi gani au finally tu.
2026-10-03 03:29:47
1
professorl68
shaban :
waweke sawa mndengeleko
2026-10-03 08:04:22
0
anu24247
anu :
mafuri. hatuna akili.
2026-10-03 06:29:31
0
yohanankwabi3
yohanankwabi7 :
"Allah" siyo Mungu! Sawa, je jina Allah linatokana na lugha gani?
2026-10-03 06:00:53
0
chalia759
Chalia :
🥰🥰🥰
2026-10-02 20:38:38
1
abdallahmalkiomar
Abdallah malki Omar :
🥰🥰🥰
2026-10-03 05:21:51
0
To see more videos from user @mr_othman_tz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About