@millardayo_: Mwanaume aliyetambulika kwa jina la Laurent Kweka anatuhumiwa kumuua Mkewe, aliyefahamika kwa jina la Jenipher, kwa kumpiga risasi nyumbani kwao Bunju A, Mtaa wa Mkoani, Zone ya Senzele, Dar es salaam. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Mwenyekiti wa Shina la Mtaa wa Mkoani, Lucia Shirima, amesema tukio hilo lilitokea alfajiri ya Oktoba 1, 2026, ambapo alipigiwa simu na Mfanyakazi wa ndani wa familia hiyo aliyemweleza kuwa, "Baba amemuua Mama." Shirima amesema baada ya kupokea taarifa hiyo alifika eneo la tukio na kuwasiliana na Viongozi pamoja na Polisi, ambao baadaye walifika katika nyumba hiyo. Kwa mujibu wa Shirima, walipoingia ndani waliukuta mwili wa Jenipher ukiwa upande wa kushoto, pembeni ya kitanda, huku Mumewe akiwa hayupo eneo la tukio ambapo baadaye alipata taarifa kuwa Kweka alikuwa amekwenda kujisalimisha Polisi. Jitihada za kupata taarifa rasmi kutoka Jeshi la Polisi kuhusu tukio hilo zinaendelea, na tulipowasiliana kwa simu, tulielezwa kuwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro, hakuwepo, huku simu ya Kaimu Kamanda ikiita bila kupokelewa. #MillardAyoUPDATES
millardayo
Region: TZ
Friday 02 October 2026 20:43:53 GMT
Music
Download
Comments
arcado :
ukipata nafasi yakuwa single usiicheze
2026-10-03 02:35:04
284
Kennyvictormsina123 :
nikisema single unasema power
2026-10-03 03:53:17
153
Mary mamuu :
ukipata nafasi ya kuwa single usiichezee
2026-10-03 07:50:47
21
BeingMe😉 :
Kwahiyo alimtongoza, wakapendana, akamuoa ili amuue 🥺
2026-10-03 06:08:03
60
Caren G :
Wanaume mmetumaliza na mnazidi kutupandikizia sumu mioyoni mwetu
2026-10-03 04:11:33
48
The real queen 👑 :
Lakini hatujui uyu jamaa alipitia Nini paka kufikia uamzi huo Ikawe funzo kwa wanawake wengine msio tulia kwenye ndoa zenu na muache tamaa.
2026-10-03 05:29:58
41
Shine🇹🇿🦋💫 :
Hakikisha kabla ya kuingia kwenye ndoa tayari una mali zako...
2026-10-03 08:53:36
7
Tahiya :
Ifike mahari catholic iwe rahis kutoa taraka tunaisha jamani 🥺
2026-10-03 05:27:53
11
Comr Ade :
hata iweje unawezaje kumuua mtu ambae huja muumba wewe💔
2026-10-02 23:56:44
30
Mis Ag.😘 :
Kwa akinaa ndoaa pa motoo,
2026-10-02 22:14:27
51
Miss merry :
Ndomaana sitak kuolewa mimi
2026-10-03 07:20:23
16
philosopher :
meanaume kuua mkewe n udhaif mkubwa sana
2026-10-02 22:15:16
27
@Rujlolly💜💜🩷 :
Mungu wangu mbona wanatukatisha tamaa ya kuolewa jamn 😳😳😳
2026-10-03 06:32:52
8
jannat :
SHAME ON YOU MEN!!!!!
2026-10-03 07:55:39
0
Raphael Range :
no matter what happened, don't lose your freedom bcz of a woman
2026-10-03 10:56:59
0
mo :
Majirani nao wanafki[Tears of joy][Tears of joy]daah
2026-10-03 10:10:00
0
Contawa OG :
WANAUME HATUPENDI MABISHANO DADA ZANGU JIFUNZENI KUA NA KAULI NZURI KWENYE NDOA ZENU LA SIVYO
2026-10-03 07:31:59
7
Nyemo Madeje :
vwb
eeee
2026-10-03 04:23:14
0
fashion kellr 🥰 :
hellow watu wa ndoa
2026-10-03 02:56:09
7
williemnyamwezi :
DINI NA NDOA ni vitu ambavyo siku hizi vimepitwa na wakati KIJANA ISHI HURU USIFUNGAMANE NI HIZO VITU MBILI ZINAVURUGA VICHWA VYA WATU
2026-10-03 08:17:18
9
Miss kessy :
😳😳😳😳single singular singularity singwengwe namaanisha I am
2026-10-02 22:45:27
21
Caramprint :
Haya mambo nilisha sema ukiona kunashida achaneni kila mtu aishe maisha yake kupigana hakuna maana.
2026-10-03 05:11:44
9
JULO~KIDD💙✈️ :
bunju kuna watu wanamiliki lisasi na atujui
2026-10-02 20:52:15
32
Teddy💝💞 :
Nahuku ni kwa ndoa guys😳😳
2026-10-03 06:11:43
14
mrs chuji :
baba simama na ndoa yang maan ndo sehem pekee tunaishi na aduw bila kujuwa
2026-10-03 04:21:32
12
To see more videos from user @millardayo_, please go to the Tikwm
homepage.