Wapendwa wenzangu mwanamke mwenzetu anamaanisha kuwa MUNGU AMEMCHUKUA yaan mtoto wetu hiyo AMEFARIKI 😭😭😭 PUMZIKA SALAMA MTOTO WETU POLE SANA MWANAMKE MWENZETU MWENYEZI MUNGU AKUPE FARAJA YA KWELI...🤲
2026-10-03 17:15:38
1077
_Candy🦋 :
Pole dear 🥹🥹🥹
2026-10-05 16:36:22
0
mamu :
pole san
2026-10-05 10:30:39
0
@cartalea :
mungu ninakuomba kila inapoitwa leo uniepushe na kikombe hiki mm na familia yangu ,pole sana dada
2026-10-03 18:17:09
381
Khadija Mascat :
pole kipenz mung atamjaalia atapona alaka na mtian atafanya mung ashidwi
2026-10-03 13:06:45
146
Mommie💦💫 :
pole saaana dear
2026-10-04 12:15:21
1
Frida :
Pole jamani pole🫂
2026-10-04 19:56:38
1
Mr pain :
I’m sorry, my sister. May God give you comfort and strength during this difficult time. 🙏
2026-10-04 17:14:29
1
Lubna Al Naaman :
Allah amfanyie wepesi mtoto wetu
2026-10-03 16:07:55
29
j :
dah mungu ataponya kwa uwezo wake had akafanye mitihani yake mungu ni mkubwa
2026-10-03 16:31:05
44
neilah :
kuna huyu amelala kitandani kuna wa kaka angu amefiwa na baba ake na ana mtihani leo ee Mungu mtie nguvu huyu mtoto kwenye kipindi kigumu kama hiki
2026-10-05 07:13:27
23
ELKA KIGOLA :
mmmmmh
2026-10-05 16:30:29
0
__bliss elegance💎 :
Pole sana Mungu ampokee kwenye raha ya milele 🙏
2026-10-05 04:51:38
11
Mrs Nyanya :
pole sana mungu amponye kijana wetu
2026-10-05 08:44:29
5
yaeli mitumba collection tz :
asanteni nyote
2026-10-03 22:10:42
9
Aisha Ngam :
Mungu atamfanyia wepesi atapona na kufanya mitihani na wenzake inshallah
Pole jamani 😭😭😭 nikikumbuka juz nipo sokoni moto umewaka mtoto nilimuacha ndani kalala maumivu niloyapata mungu ajuae nashukulu aliokolewa nakuelewa mwanamke mwenzangu pole sana sana 😭😭😭
2026-10-04 06:09:20
6
nifer msusi :
dah pole sana mwanamke mwenzangu Mungu aaakutie nguvu😭
2026-10-03 15:28:20
21
Isher@naxh🥰 :
ooh nikiona hivi napta maumivu makali mungu atulindie watoto wetu awape maisha marefu pole dear kiatu chako hakivaliki😭😭
2026-10-04 06:17:55
8
abiba :
atafany mtian kwauwezo wake yey mung usijari san dad atapon mtot wetu
2026-10-03 16:12:49
11
Rebeca Sanga :
mbona unasema amemtwaa
2026-10-03 17:02:14
8
minahdotti :
pole sana hapo ni hospital gani kalazwa
2026-10-03 13:35:27
8
mariamuthomas67 :
daaa pole sana kipenzi
2026-10-04 08:32:46
1
Mielly Fabian :
pole kipenzi mwenyezi mugu ampe wepesi alejee kwenye hali yake
2026-10-05 16:46:51
0
To see more videos from user @user7233420939849, please go to the Tikwm
homepage.