umoja wa majobless 😂😂🙌🙈..we ndo mwenyekiti wa majobless kuanzia leo 🥇📢
2026-10-03 07:35:14
411
Jomic :
Wanashindana na Majobless kaz wanayo😅😂
2026-10-03 06:13:42
37
Scholar store Tz 🛍️ :
Account zote hizo nafanyia kazi swala hilo 😂😂😂😂😂
2026-10-03 16:44:57
12
AISHA🇹🇿 :
awajuwi tuna WiFi za Bure kwa majirani 😂😂
2026-10-03 10:13:10
86
lavie🌸🍇official :
na mm saa kumi na moja hii ndo natoka kule😅tokea sa nane
2026-10-03 01:58:59
95
Natty❤🦅 :
chabby🙌🏾igweeee igweeeee igweeeeeee😂😂😂😂
2026-10-03 06:11:23
34
mamuuu :
walikua hawajui kama bongo ndo AI yenyewe😂😂
2026-10-09 19:59:07
14
chum👩🎓 :
we utengwe mwenetuuu[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-03 05:10:48
9
@Vid'Mana🤞 :
Ukishamuomba Mungu jambo lako basi hakikisha umewaomba pia watanzania🥰
2026-10-09 21:55:01
11
mama nayra :
chabby store igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeedd
2026-10-03 19:16:13
7
nasmanassoro503 :
kumbe nawez kurudia kukoment mpk nichoke mm
2026-10-03 09:50:52
9
Jeslady08 :
Girl😅
2026-10-03 07:02:55
1
it’s ❤️rica🫧 :
nmekupendraaaa njoooo nkupe kwakwaaa🥰🥰🥰 kazi nzur nmehic nawivu
2026-10-03 05:49:36
5
Child of God💝 :
nmekupenda bur dada ungekua krb yangu nngekupa hela ya soda duuh😂
watakua wanajiuliza "what kind of country is this?
2026-10-03 19:46:47
5
Wagon :
sisi ndio watufudenge wenyew sasa
2026-10-03 09:50:59
8
AZIZAH🌸 :
sisi ndio vichogo tukiamua jambo letu hatuna baya😂😂
2026-10-03 09:39:13
9
febronia emmanuel :
Aah we balaa
2026-10-03 08:20:49
0
Patience🤍💸 :
Eeh Robot hapa lazma lisalimu amli [Laugh approved][Tears of joy]
2026-10-09 13:37:54
1
suzanGodfrey02 :
tena jobless mwenye wi-fi😂🙌
2026-10-07 14:40:03
2
nisher Vuitton :
hawajui tuna Wi-Fi vitonga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-05 11:09:34
2
julie :
Mlivyo msapoti siku akiyakanyaga huyo mdada Nahisi ata tamani asingewaomba kura za wa Tanzania maana mnakaubaipola kakujua wenyewe kwenye sapoti ya jambo la muhimu hata la kumsuta mtu nawakubali 🥰
2026-10-03 19:02:35
1
Kalila :
Na wajipange haswaa 😂😂😂
2026-10-03 14:51:20
3
obby¥🥸🥸 :
wakiona hii watakataa bongo kuingia ten kweny mashindan
2026-10-09 20:39:58
0
To see more videos from user @__chabby__6, please go to the Tikwm
homepage.