MaashaaAllah. Sheikh Izzuddiin hulazi damu. Safi sana
2026-10-03 03:02:36
38
ruby :
shekhe wa bakwata huyoo
shekhe wetu walid tunampena
2026-10-03 03:38:06
15
bin khalifa :
yaani umetoa mtihani hapo hapo amefeli..yaani umezungumza yanga tayar mpka wanatoa tunzo....mtihan duh
2026-10-03 05:35:11
19
@Habeeb_217 :
asiyekuwa sheikh wa wa mkoa Wala Jimbo amfundisha Sheikh wa mkoa 😅
2026-10-03 10:01:41
4
MZALAMO OG :
Huu ni masiba makubwa kutajwa yanga tuu watu wanamwanga pesa katanjwa MUNGU NA MTUME hakuna pesa mtihani
2026-10-03 06:03:06
7
HAKIM JAMALULEIL :
uzuri wa izudin hasemi kando kando
2026-10-03 08:40:35
4
Ridhwan Suleiman :
ahsant mwalim
2026-10-03 06:05:09
2
Ramadan Amour :
umepigaje hapo
2026-10-03 04:50:46
1
Adam Mkalimbe :
upo sahihi shekhe waambie hao
2026-10-03 05:48:59
2
ابؤ السلفي :
Bakwata cabinet is cancer kwa ustawi wa waislam wa Tanzania
2026-10-03 05:13:18
4
FAR-HAN SIRAJ :
Izudin cheikh wangu ❤️
2026-10-03 07:58:19
1
Mully Collection :
diamond amuita
2026-10-03 04:58:15
1
Hatib Kondo :
Sawa sawa
Yani hovyo kabisa
2026-10-03 04:45:18
1
yusafaysa :
maaashaallah shukrani
umeweka sawa
2026-10-03 02:16:04
4
shariff :
kuhudhuria sherehe za wasanii ni kosa lakini kosa kubwa zaidi ni kumkosea heshma bibi khadija mke wa mtume s.a.w mbona ashambuliwe mmoja tu kwa kosa dogo je dini ama ni hawaa za nafsi ???
2026-10-03 06:00:59
1
Swidiyq Dauda :
halafu eti likatunza napesa kunavituo kibao vyamayatima
2026-10-03 09:13:16
0
fretham :
mashallah
2026-10-03 09:13:17
0
Halima Ahmed :
amin
2026-10-03 02:20:54
0
abbydossantos385 :
ndo ukweli huo Kuna mahali viongozi wetu wanateleza mashaallah umekumbusha
Wametahadharishwa shubha wameanza kuleta shubha kabla hata hajamaliza katoa hadithi watu wamekaa aliposema yanga sheikh mkuu ndo akanyanyuka…Allah atuongoze sisi na sheikh mtihani pepo sio lelemama
2026-10-03 03:45:46
0
To see more videos from user @seyfullahonlinetv, please go to the Tikwm
homepage.