@daroe_media1: MKE MKUBWA AMTUNZA MKE MWENZA 0715114496 TUNAPIGA PICHA KWENYE MATUKIO AINA YOTE #tanzaniantiktok🇹🇿 #trend #fypシ゚viral #swahili #fyp

D A R O E media
D A R O E media
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 04:55:35 GMT
82083
3571
392
437

Music

Download

Comments

annamkhuu213
Anna Mukhuu :
Mke mkubwa mzuri sana
2026-10-03 10:10:00
90
naahkareem
Naaah🦋 :
wema huuu sina walah😁
2026-10-03 09:57:20
54
jamila.jumanne75
@Dable JJ :
Ila wanaume🙌🙌🙌🙌 bi mkubwa mzuriii ivo ndyo wa kumuongezea mkee kweliii
2026-10-03 12:19:35
48
suzi.ramadhani
Suzi Ramadhani :
naomba kujua we kabila gani
2026-10-03 08:42:32
26
sasha.strawberry19
Sasha strawberry :
ngoja kwanza ncheke mimi ni mke mdogo lkn ikifk zamu ya mkubwa nalia na nimemkuta🤣🤣
2026-10-03 09:55:15
17
bintabdillah6
Bint- Abdillah :
mmmh roho hiyo sina
2026-10-03 06:51:34
21
wwwcute32
Mrs R,D💚💛 :
me uwo moyo sna kwakweli mpak apo ningekuwa nxhazimia😳😳
2026-10-04 08:32:15
3
fetyfety21
Fetty 🦋🔐 :
Wema huo ninao wakutoshaa 🤗
2026-10-04 20:10:49
1
nurat606
nurati fashion house🛍️👠👗 :
wema huo sina
2026-10-03 10:16:48
7
user7816004583933
Hindo :
Me nasubili niwe wa4 mana ujasir wa kumtunza mwenzangu cna
2026-10-03 17:06:28
5
matild8140659690592
manka wa uru😍 :
kwenyee uu mwema mimi sina ata chembe
2026-10-03 11:37:43
10
user1023658679197
user1023658679197 :
hakuna kitu ni unafiki
2026-10-03 13:16:57
9
sweet.ley4
Sweet ley :
ata iweje mke mwenza sitaki moyo wangu mdogo
2026-10-03 08:32:04
6
user4219954317219
fezam_zahor :
kwaiyo inafaa kuoa wake 2katika familia moja?
2026-10-03 11:05:47
5
dijabear
dijabea :
wanaume wabinafsi sana
2026-10-03 13:02:02
1
user4505096211246
Lully 🌸 :
Mashaalla 🤣🤣🤣moy huo km Ninao hiv
2026-10-03 10:18:46
1
rahmathy21
rahmathy :
wanaume mnahangaika nm jmn
2026-10-03 11:29:21
0
user8880158061968
user8880158061968 :
mimi siku ya halusi ndio siku yngu na mimi naludi kwetuuu
2026-10-03 18:32:16
0
lucky.boy2540
Ria cute 🦋🦋💕 :
moyo huo sina wenetu
2026-10-03 10:06:42
1
tujuo3
mima🌹 :
hizo Hela hazijapitia kwa mganga kweli
2026-10-03 19:32:11
0
user169399556163
mee :
Naomba kua mke wa 3 🫴
2026-10-03 13:16:12
3
tanzaniatiktok318
Omary _12@🖤🖤 :
wanaume tuna dhambi jamani
2026-10-03 20:37:57
0
esterkessy403
esterkessy403 :
ubinadamu huo sina
2026-10-03 12:41:42
0
hawa.misimbo
Hawa Misimbo :
mke mkubwa kisuu
2026-10-03 10:09:25
1
user7934959148576
Abou Jr :
name Hivi karibuni mke Wangu anakaribia kumpokea mdogo wake 🤣😂joke mke Wangu sio ya kweeli 🤣
2026-10-03 12:28:19
2
To see more videos from user @daroe_media1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About