@mabatiimara1: 🌧️ HATA MVUA ZA EL NINO ZIJE, HATUTAKI UVUJA! 🔥 Linda nyumba yako kwa FLASH COVER imara na yenye ubora. Inapatikana hapa kwa bei poa kabisa! 😍 📐 Una vipimo vyako? Vilete, tunakutengenezea Flash Cover kulingana na vipimo vya nyumba yako. 🏠 Pia tunauza MABATI YA AINA MBALIMBALI kwa bei nzuri na ubora unaoaminika. 📞 0674 344 436 | 0768 206 093 📍 Buguruni Chama, Dar es Salaam #FYP #ForYou #TikTokTanzania #Viral #Mabati
walantii ya miaka 10 ikitokea nmenunua bati nikaambiw hazpauki na baada ya miaka mitatu minne zikaanza kupauka nitaztoa nizirudishe mtaniekewa? ama mnafanyaje
2026-10-03 14:27:52
0
To see more videos from user @mabatiimara1, please go to the Tikwm
homepage.