@kitaahakiozi: Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imebadilisha tarehe ya kufungwa kwa shule za awali, msingi na sekondari Tanzania Bara. Awali, shule zilitarajiwa kufungwa Desemba 4, 2026, lakini sasa Serikali imeagiza shule hizo kufungwa Novemba 13, 2026. Hatua hiyo imekuja kufuatia utabiri wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) unaoonyesha uwezekano wa mvua kubwa katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2026, hali ambayo inaweza kusababisha mafuriko, changamoto za usafiri na kuhatarisha usalama wa wanafunzi, walimu na wafanyakazi wa shule. Serikali pia imekuwa ikibadilisha baadhi ya ratiba za mitihani na tathmini za kitaifa ili kupunguza athari zinazoweza kusababishwa na mvua hizo. 📌 Kwa kifupi: 📅 Tarehe ya awali: 4 Desemba 2026 📅 Tarehe mpya: 13 Novemba 2026 👀 Wazazi na wanafunzi, mlijua kuhusu mabadiliko haya au ndio kwanza mnakutana na taarifa hii? #KitaaHakiozi #trendingnow #BreakingNews #Tanzania #viralvideos

Kitaa Hakiozi
Kitaa Hakiozi
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 05:11:08 GMT
205072
6966
245
319

Music

Download

Comments

rachelpet
Blessings ♥️🥰 :
Hakuna Elnino I trust My God🤲
2026-10-03 10:22:23
68
demonvoice89
MSALITI :
Mbona kama Elnino iko Serious😂
2026-10-03 07:37:54
43
gee54185
gee💗💗❤️ :
daah hii ofa imekuja na shule nimemalzaa[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-03 16:09:46
0
user3287840559015
feston incredible@99 :
ifunge tulaumiane January💯🔥🔥
2026-10-03 17:10:42
0
asmahani.yussuf
Asmahani Yussuf :
yarabi kwako hakuna linaloshindikana nakuomba peperusha hiyo elnino isje ikawa mvua yakuathiri ammiin yarabbi
2026-10-03 09:10:43
152
wizzy.msafi3
Wizzy Msafi :
Serikali hiii bora ife too
2026-10-03 10:55:39
0
ester_mayaofficial
ester_mayaofficial :
tendency kwa milady ayo
2026-10-03 08:52:19
0
mariagaicha_charl
Mariagaicha_Charles :
Na tulio peleka watoto pre fourm one
2026-10-03 09:58:38
7
princemoally0
Prince mo Ally :
asa mbona likizo za uloda znakuja nmemalza shule
2026-10-03 09:38:48
13
user1134413452680
benizo :
isiwe shule tu, na wizara ya kazi, iongelee kuhusu likizo makazini🇹🇿🇹🇿🇹🇿
2026-10-03 07:19:18
5
zu.baby4
zu baby :
ada yanguu mwanangu atasomea mwez ujao sina udg na walim mm
2026-10-03 13:59:38
4
officially.hawer
🍇girl😘 :
Kwan mvua zinaaza lini
2026-10-03 10:02:17
1
oluwa_oh_god
Oluwa 🙏 :
mungu hapangi jambo na binadam yoyote duniani ,akitaka lake hushtukiza bila maandalizi
2026-10-03 09:24:46
9
zainabu.lweno
Mama triple H's :
Mwenyezi Mungu atuwekee sote Ulinzi wake,..Atuvushe sote WaTanzania salama katika badiliko lolote la Hali ya Hewa.. atujaaliye Amani ,Afya njemaa..na UTULIVU..Aamiin Aamiin Aamiin
2026-10-03 08:43:42
9
esthershigemelo34
Tiffan🥷 :
ela z vitafunio hatuna wangu mpelekeni jeshi wakikalibia kufungua mtamleta
2026-10-03 07:22:23
13
zuuh_trends
Miss Zuuh :
Serikali ikiwezekana tufunge na kazi🥺🙌
2026-10-03 08:47:47
1
mimmer_dimpy
Mimmer _Dimpy💫🥰 :
mbn vyuo hawajasema jmni 🥺🥺😂😂😂
2026-10-03 17:03:45
3
jane.malisa25
Jane Malisa :
na ada zetu veeep
2026-10-03 06:46:52
0
linny.cute3
Linny cute🌸 :
mungu yupo atatusaidia watumishi wa mungu tuombe mungu yupo hawezi tupa mja wake
2026-10-03 08:01:15
8
ismaile239
Taus🦚 lsmail😇 :
safi sana🤣
2026-10-03 14:26:21
2
user4380002507090
user4380002507090 :
Na mitihani wanafanya lini sasa
2026-10-03 07:33:10
2
salomepaschal831
Salome paschal :
ee Mungu tusaidie maan hii nchi me ata sielew nn kinaendelea
2026-10-03 07:35:08
4
user8358337135479
happy :
nawanachuo jee wanaludi lini chuo?
2026-10-03 12:33:39
2
ray097018
ray :
tungefunga na kazi ,tutaendaje kqzjni sasa
2026-10-03 08:35:17
2
naomi.obong
Naomi Obong :
jaman mbona kama ada zetu za time ya tutu zimeenda bure
2026-10-03 13:13:20
2
To see more videos from user @kitaahakiozi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About