@swahili_news_media: VIDEO: "Kuna wengine wanasema huyu hamalizi mwaka hapa, Geita ni kama mali ya watu wachache ambao wanadhani wana mamlaka nayo na hakuna mtu wa kuwauliza kitu, sijaja kutafuta hela hapa" Mkuu wa mkoa wa Geita Alexander Mnyeti tarehe 25, Septemba 2026. #creatorsearchinsights #trend #fyppppppppppppppppppppppp #swahilinewsupdates #viralvideo
Swahili News TZ
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 06:53:15 GMT
Music
Download
Comments
David Mlelya :
timu gani hiyo aliyokua anamiliki?
2026-10-04 05:24:12
1
Carlos De Sospeter :
Ana kampuni ya catering inaitwa gwambin
2026-10-05 06:03:20
2
ng'wana eliza❣️ :
tajiri wetu wazaman gwambina vs
2026-10-05 02:07:12
2
wise man :
Yes good
2026-10-04 12:29:23
1
John Lazaro :
mpo wawili tu, wewe na mkuu wa iringa nawakubali saaana
2026-10-04 10:40:04
1
Abel :
mtu na nusuu.nakukubari mzee😁😄
2026-10-04 16:03:45
1
Peniel Kisarika :
duhh kumbe
2026-10-06 07:54:57
0
Njombe Quality Block s :
doooo
2026-10-04 05:51:11
0
user5495468273352 :
ubalikiwe babaa
2026-10-04 03:58:54
1
Kananga/tz :
Good sana piga kazi baba
2026-10-07 03:42:22
0
Iddi Salehe :
piga kazi baba
2026-10-04 09:49:32
0
Cheupe :
uko vizur
2026-10-04 20:29:27
0
Cathy babymom :
Tunakupenda geita🥰🥰🥰🥰
2026-10-04 05:48:23
1
Ramadhan Juma :
Safi mkuu piga kazi
2026-10-04 18:46:35
0
Sadam Issa :
ilikua team gani au lipuli😅😅
2026-10-04 19:38:49
1
Eng madaraka :
acha majigambo fanya kazi
2026-10-04 21:36:52
1
Mwakihongosi Measy :
Pamoja na kuwa haujakuja kutafuta pesa.. acha kutukalipia.. hakuna mtoto wako… kuja pole pole bwana Mdogo..
2026-10-07 18:59:07
0
K.G.S LIFE :
😂😂😂
2026-10-04 05:43:49
0
Ng'wanaholo :
😂😂😂
2026-10-04 18:59:18
0
To see more videos from user @swahili_news_media, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.