@ozdantaraphael89: Wakati mwingine akili inapochoka, maneno yanakuwa mengi lakini mdomo unakosa la kusema. Unabaki tu kimya ukimwachia Mungu kila kilicho moyoni, ukiamini kuwa kila kipindi kigumu kina mwisho wake. 🌧️🕯️#TanzaniaTikTok #viral #swahiliquotes #trending #fyp