Robrto alivunjika kidole pale noma sana yy mwenyew alisumilia
2026-10-04 02:03:30
17
pelle :
Mchezaji anayeongoza duniani kuvamiwa siyo kukabwa yaani kuna kipindi kina Ramos na pepe wanampiga mpaka ngumi damu zinatoka lakin wapi
Ukimsikiliza marcelo ndiyo atakupa ushuhuda na casemiro
2026-10-08 13:53:47
12
feints.live :
ukiiangalia ya kawaida ila hiyo skill inakutoa nyonga😂
2026-10-08 12:04:08
9
Marafiki Club :
Messi angekuwa ndo captain wa meli ya Titanic ange-body feint ile ice-berg na meli isingegonga mwamba wala isingezama
2026-10-06 07:39:30
11
AYU BOY 4👊👑 :
Messi king 👑🤴🐐🇦🇷👈
2026-10-05 05:20:31
6
Bobyuzouh :
Kitu pekee ambacho mess anacho Ronaldo hana ni hichi ila tukianza kuchambua vitu ambavyo Ronaldo anavyo mess hana 🤫
2026-10-06 08:53:33
1
magomakid211 :
kuna siku niliiga kwenye zoezi nilienda me nikacha mpira😂😂😂
2026-10-05 17:21:16
7
Ndege Jr. :
Mbona na mm nayumba na naangalia kwenye cm🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-06 17:46:37
2
Life is good when you mak 💰 :
Ametisha baria 😅😅
2026-10-05 20:15:47
1
Organizer CC :
Uneecha ya Boatebg 🔥🔥🔥
2026-10-05 12:56:26
0
Aug::::$ :
atumi nguvu
2026-10-06 08:13:31
1
peter :
Siendi…..weee😂
2026-10-03 10:02:40
1
Nuuh🖕🖕4"5 :
😂😂😂😂🤣 daaaah kaka nime penda iyo azi stazi ankala Messi Messi Messi
2026-10-03 09:46:07
1
Real Venny 🐺🐺 :
uyuu jamaa ni balaa
2026-10-07 16:07:52
0
Veil400 :
Uyu mwana aliumia aki😂😂
2026-10-05 21:48:05
0
daxrone@TZ :
we
2026-10-05 10:50:24
0
Bobyuzouh :
Ivi unajua mess na Ronaldo wamekuta kwenye fainal mara nne na mara zote robaldo ameshinda
2026-10-06 19:51:44
0
Florent :
Bila boateng hii clip haijakamilika
2026-10-10 02:12:44
1
Hushad ⚽🫀🙏 :
Goat
2026-10-09 20:40:25
0
ℂ𝔸𝕃 𝖇𝖊𝖆𝖗🌴🐇 :
Si ndio kak
2026-10-09 20:40:25
0
kerryson26 :
Hhahahahaa dah ila mess
2026-10-09 18:38:44
0
DeziignerAnhol :
2026-10-09 18:00:32
0
oficial tz :
2026-10-09 14:35:37
0
MANOMA🙈🤟👑👑 :
Nilichogundua ankoo ata wew unajua ball🔥🔥
2026-10-05 11:56:17
2
To see more videos from user @h2g_boy, please go to the Tikwm
homepage.