@iam_demymoh: Usipofanya wewe basi wataku manipulate wewe.#zingatiacode #Achaubwege #iamdemymoh

Iam_demymoh🇹🇿
Iam_demymoh🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 07:27:29 GMT
185247
17765
675
702

Music

Download

Comments

i4kizzy01
🅛︎🅘︎🅛︎ i⃠c⃠y⃠ 🥶🧊💙🧊🥶 :
bro napenda content zako mpaka nmeacha shule ili nipate mda wa kutosha kuangalia video zako ❤️
2026-10-03 11:24:14
177
ruqaiya040
Aisha💦 :
Ujinga huo tunauweza scorpio tu, mwisho mtu anaanza kukuogopa
2026-10-03 15:29:53
79
user3873381779662
happynes masawe :
kaka najiamini hadi nimepigwa staki tena 🤣🤣🤣🤣🤣
2026-10-03 12:13:45
95
dee100867
It's Dee 💞😇 :
Nmesikliza Kwa makin mpaka nmesahau kula🔥😎 makofi tena📌
2026-10-03 10:51:38
48
user9932681701561
💦🧸Baby jey🥀🦋 :
yan umekuwa mwana saikorojia wangu bro❤🥰
2026-10-03 08:33:05
25
malkia995
Queen of Hearts :
Huyo ni mimi kabisa mpaka sina marafiki sana
2026-10-03 09:31:45
28
giddymistertee
Mister Tee🥺 :
Una ukweli kaka,,,,,napenda content yako
2026-10-03 07:31:11
17
user1596800438412
≈Mârïã@♥ :
kuanzia leo yule rafikiang ashindwe Kun manipulate
2026-10-03 08:38:11
7
frankemanuel634
frankemanuel634 :
we jamaa hatari
2026-10-03 09:55:46
6
user7758768575242
Afya yangu na Dk Olive :
nimefanikiwa bhna wa mnager wangu🤣🤣🤣
2026-10-03 10:01:25
5
felistermichael71
Felister Michael :
nmeelewa sana🪛
2026-10-03 08:29:53
6
jrmy.shukuru
Jérémy Shukuru :
asante sana mwalimu wangu
2026-10-03 14:06:03
7
sylvesterdebruyne
Sylvester Majaliwa :
BROTHER NAKUKUBALI SANA UNA AKILI KUBWA BIG UP
2026-10-03 09:55:07
5
barnaba_the_second
Barnaba_the_second :
KWAHESHIMA
2026-10-03 09:19:14
6
agnesmasanja331
Agnes Masanja :
uhakika my brother ❤️🔥 mambo mungu atusaidie tuwe na ujasiri
2026-10-03 08:35:07
7
user7299992821280
ALLY :
Sf sana bro
2026-10-03 09:49:36
5
user87413529692451
Abdul :
big up sana👍
2026-10-03 09:42:38
5
sajo_boy0
SAJO BOY :
Live ✊✊
2026-10-03 09:18:08
5
.mrallan2
MR. ALLAN TZ 🇹🇿🇰🇪🇺🇸 :
hatari sana
2026-10-03 07:46:16
6
gabriel_aneth
gabriel_aneth :
Kukaa kimya nidawa mm niliitiwa kundi la wadada kuchambwa huezi amn nilikaa kimya hadi wakaanza kuniomba msamaha 😂😂et wananiambia mbona hujibu Jibu basi 😂😂
2026-10-03 12:23:29
47
user25081472345317
k :
najivunia sana kukutana na wewe
2026-10-03 08:40:14
5
shemsaoutft
samairah🥰💞💞 :
una jua nini nakuelewa vyema sana kila unacho post nipo na wewe🫴🫡
2026-10-03 07:34:19
6
mmbaganancy
Mmbaga Nancy💞 :
nmekuelewa xana kuanzia Leo naanza kubadilika
2026-10-03 09:24:51
7
shent.shentito
Dr.Hamisa :
Mwalim hii elim sijafundishwa shule kabisa nazidi kuiva siku hadi siku hasa hii ya kusema HAPANA aiseee🫡
2026-10-03 10:01:10
24
To see more videos from user @iam_demymoh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About