@ibunkitenge: The Purpose of This Video 🌿🤲🏽 Our mission is to educate, enlighten, and strengthen our community through knowledge of Allah, faith, religious values, and the boundaries of our religion. We also aim to preserve and share traditional knowledge, natural healing practices, cultural heritage, and spiritual traditions in a responsible and respectful way. Let us learn together, protect our values, preserve our heritage, and pass beneficial knowledge to the next generation. If this knowledge can benefit someone in our community, share this video, follow the page, and be part of the journey. Together, we can build a more informed, conscious, and united community. 🌿🤲🏽 #Community #Knowledge #Islam #Faith #Education
Ibun Kitenge16641
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 07:36:39 GMT
Music
Download
Comments
@malik756 :
Nyerere aliwasaliti Babu zetu 😢 waislam tulipambana sana ila tulisalitiwa vibaya sana maana hatukuwa wanafiki tulifuata mising ya mtume wetu ila nyerere alikuwa mnafiki sana juu yetu
2026-10-22 08:55:32
23
MavumbaJr :
UZURI WA UKWELI NA HAKI HUWA HAVIPOTEI.
2026-11-04 11:14:24
12
Mustapha kayugi :
watu wengi hawajui wapi tumetoka wapi tulipo na tunakwenda wapi .kwa mfano mpaka leo hii kuna watu wengi hawafahamu kwanini Nyerere aliiua muslim welfare society na kutuletea bakwata. na mali zilizokuwa za waislam kama vile shule hospitali na viwanja ambazo baadae zilitaifishwa na serikali na baadhi ya mali hizo zilikabidhiwa kwa kanisa katoliki na zingine zinamilikiwa na serikali mfano shule ya msingi mbugani iko mwanza.
2026-11-04 17:05:06
5
tambwe_tz :
kigoma ilikuwa na watu bwana
2026-10-04 18:46:49
12
true voices :
picha harakati za ukombozi mpaka uhuru zinafutwa nyingi kama unapata tunza kweli historia inabadilishwa
2026-10-04 08:13:55
8
user9029767027031 :
kaka Ii simba inatisha kipetello og apa
2026-10-21 13:39:16
1
Sayyed abuu abdillahil Ally :
Manyema hoyeee 🥰🥰🥰 tunahistoria kubwa sana Tanzania
2026-10-03 09:03:27
11
Bakari :
Mzee naomba NAMBA zako za simu, wewe ni mtu muhimu sana hasa kwetu sisi waislamu
2026-11-17 13:15:57
1
allai :
Kumbe tuliupiga mwingi sana. Ila nahisi tulitelekezwa kimtindo
2026-10-03 10:46:18
8
Omary Mjema :
waingereza wamefuta history kwa Msaada wa nyerere
2026-10-19 17:21:59
6
M.H K electrical :
maalim ungeifungua tuisave
2026-10-19 21:02:50
3
Igzabieher :
Mwalimu alishika sana fitna ya vatikani na kuwadudimiza waisilamu kimuundo
2026-10-03 17:21:00
6
lgffumbuka :
Sheikh Mijamed Saeed kitabu chske cha Kiingreza ndiyo classic. nduyo suthoritative. Akatoa translation ya Kiswahilu akaichakachua. lakini pote pawili anasifia Wamanyema.
2026-11-10 16:40:00
1
kunajoto.001 :
2026-10-06 04:46:47
7
Sarwatt Hassanol :
MashaAllah.. Wazee kama nyie ni RUBY katika jamii yetu ya sasa.
2026-10-19 21:56:23
3
Dr Bing A M :
Asante sana kwa mafunzo haya sheikh
2026-10-08 05:41:51
2
S_Yildirm ♌️ :
Allah Akbar
2026-10-21 08:58:03
3
peke maruvya :
asante sana tumejua
2026-10-03 09:47:37
2
mutambuka Iddy :
2026-10-03 18:05:59
1
S_Yildirm ♌️ :
Watu wa AI tusafishieni hii picha mtuwekee kwa comment
2026-10-21 08:56:36
1
mariambaaseif :
hii nchi imepata uhuru na waislam lkn mmmhhh
2026-10-03 14:57:40
8
ms03 :
wamanyema asili yao mji wao ndoo mkoa gani sisi wengine wageni.
2026-10-03 17:15:33
2
hassanxungura :
Sasa huyu Mwalimu kwa nini hakujumuisha Kabila la wamanyema miongoni mwa makabila ya Tanzania??!?!
2026-10-03 18:13:13
0
KELVIN GASTO :
we mzee umpendi nyerere unapenda uislamu kuliko utaifa nyerere ndio mtanzania pekee aliyependa taifa lake kwa dhati uislamu unakujaje kwenye utaifa
2026-10-11 18:51:30
1
Ab_Kassanura :
🔥🔥🔥🔥, Sema sikuhizi limekuwa ndio kabila liko chini sana
2026-10-03 14:37:11
1
To see more videos from user @ibunkitenge, please go to the Tikwm
homepage.