@360newz7: #fyp

360Newz
360Newz
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 08:42:27 GMT
123432
6721
409
254

Music

Download

Comments

bakrhesa2
MKG Grâce✈️ :
Dunia na vyote vilivyomo ni vya mungu
2026-10-03 12:20:26
52
jackitonrwiza
JR ton :
apo sasa umevuka mipaka . bwana yesu asifiwe
2026-10-03 12:48:59
34
mangaree
mangaree :
Tanzania needs education
2026-10-03 12:09:31
6
muroriadominicgmail.com
domie :
who said that can I get information about it
2026-10-04 19:14:54
0
lilianmunene538
lilian Charles :
you don't know the power of God
2026-10-04 09:28:26
0
zainabjosephat
ZAINAB ABDULLAH :
shetani ni kiumbe wa mwenyez mungu kila kitu cha mwenyez mungu
2026-10-03 10:01:38
30
zero.pressure92
Zero pressure😎🤏🕺 :
praise God
2026-10-04 00:01:09
0
neemalupagalo
neemalupagalo :
ila ukiwa na pumzi unawez kuona kam Mungu unammudu hiv
2026-10-04 10:43:06
4
voisaclassic92
voisaclassic92 :
shetani hana nguvu kuliko mungu ila mungu alimpa mamlaka shetani ili awapime watu katika imani na ndomaana ukisoma maandiko siku ya mwisho shetani atauliwa na yesu na kwa pumnzi tu
2026-10-03 17:49:47
14
ramzomusic
RAMZO :
that really bro
2026-10-03 16:54:16
0
ojey03
Opiyo Joseph :
nonsense
2026-10-03 22:45:47
0
onesmusmwangi597
onesmus :
are you sure?,,,
2026-10-04 14:32:52
0
user31043284279726
Hamax shera :
1 Yohana 5:19 umesema kweli
2026-10-03 13:43:09
5
briankamili
BK.BUKUSU.SINGLE TV :
bro aja kulinganisha mungu na shetani
2026-10-03 11:33:24
6
enock2022
Mr Enock mandela :
mimi sina uhakika kama shetani alifukuzwa binguni kwanza muniambie shetani ndo nani
2026-10-03 12:40:59
7
mustafaimara
MTU IMARA :
hakuna mwenye nguvu kuliko mungu...sema ana ushawishi juu dunia ni mtehani. na shetani ni moja ya mtihani.. mungu anataka kujua je mutaniabudu mimi au mutamuabudu shetani.. na hapo ndipo watu wanafeli but bro mungu ana kila kitu na hata usipo muabudu hapungukiwi na kitu. na akitaka anaweza kutuonfoza sote tumuabudu.. ila ni test..na wachache watafaulu...so tengua kauli
2026-10-03 14:01:39
12
rodgerssamwel
RODGER'S GENERALLY :
ndugu kumbuka tuko katika majaribio ndio maana tunaambiwa tuzame kwa maombi tangu mwanzo ili tuzameewe dhambi
2026-10-04 16:37:08
1
rajan.vivaa
Rajan Vivaa :
mwenyezi mungu ananguvu kuliko shetani hapa duniani mpaka mbinguni mwenyezi mungu ndie mfalume mkuu duniani mpaka mbinguni shetani nimdogo tu tena kwangu wakawaida sana
2026-10-03 10:47:16
6
wange5707
wange :
huyu bwana kasema ukweli
2026-10-03 21:35:00
0
wycliffe7323
Wycliffe :
soma hagai 2-8 fedha ni Mali yangu na dhahabu ni Mali yangu,asema beans wa majeshi
2026-10-03 20:10:25
3
robeni.sumuni
MR UNSTOPPABLE FX :
hamna ukweli hapo shetani ni manipulator
2026-10-03 10:19:05
2
joshuadavid612
Burddizo :
pole xana kaka
2026-10-03 17:41:55
0
tanufred
ftk :
vita yetu sio yamwili ila niyalohoni mi nimekuelewa sana mganga uko sawa kabisa mana mungu hajadili nayamwili yupo kiroho
2026-10-04 09:25:34
1
boss.v047
Vampaya boss :
Adi simu yangu iPhone XR nayo n shetan Kwel sasa mbon inastak stak sana?.
2026-10-04 08:20:13
1
shanny.shell2
Mitch wa mummy :
Mungu wangu waibishe sasa
2026-10-04 06:30:10
1
To see more videos from user @360newz7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About