@nayiraspirit2: Miguu kuwaka/ joto,Kichwa kuuma au “kiran”,Hasira za ghafla,Koo/tonsils kuvimba,Kuhisi kitu kinatembea tumboni,Kukaa siku bila kuongea,Ndoto za kuonyeshwa mzee,Kuvutiwa na milima,Kuvutiwa na jua,Kuvutiwa na bahari,,Kupenda dhahabu na rangi nyekundu,Ndoto za moto,Ndoto za farasi,Kuona mlinzi/jenerali kwenye ndoto,Ndoto za maeneo ya kale,Uso kuonekana mkubwa/wa mtu mzima kuliko kawaida,

spritual journey 🌌🔭🌃
spritual journey 🌌🔭🌃
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 08:48:53 GMT
12929
557
29
17

Music

Download

Comments

ummurrasul
Ummurrasul :
Najikuta naipenda hii nyimbo tu au ndo subian mwenyew 😂😂
2026-10-03 20:00:03
4
ummy.azran
ummy azran :
yani ninae akija fulu kucheka anacheka balaa
2026-10-03 15:32:06
1
jansi.ki.ranii
jansi ki ranii :
mm nilikua naye na alishatolewa huyu mwamba balaa ndoto za bahari miliman kama zote hasira kifua kuwaka moto mm nilikua Hadi najidhuru mwenyew nikimkosa alienitia hasira
2026-10-04 15:10:29
1
ester.msaky
Ester Msaky :
kama unae unafanyaje
2026-10-03 14:52:49
1
user9428175637516
mwahijaa :
jmn ana tokaje uyu jini mi nahamukiwa adi na mm mkwe uku
2026-10-03 22:17:57
0
tembenyanje
Tembe Nyanje :
huwa najisikia mwili hunawaka moto
2026-10-03 14:22:30
2
asha.said853
Asha Said :
Mmh mbna kama nasemwa mm najiulizaga vinavyotembea ni nn
2026-10-03 14:20:02
1
user710079084
Sonya :
jina l nyimbo tafadhar
2026-10-04 16:29:21
0
wakhdatariq
Wakhda Tariq :
wenye majin tujuane
2026-10-03 18:20:03
1
user2661247815661
user2661247815661 :
vituvyangu hivyo
2026-10-03 16:16:48
1
user8100031737281
Tuma Juma :
wallah nilisikia hii.nyimbo lazima nicheze tu
2026-10-04 17:12:15
0
jumaa1891
jumaa :
yaani me kla siku namuomba mungu nipate jini wa kike mwenye pesa tufunge ndoa lakni simpat
2026-10-04 16:51:17
0
mom.sue8
mom sue :
nahisi tofaut mapigo. ya moyo na kama nahis moto ndani yangu
2026-10-04 08:27:08
0
evaline.kavuta
Evaline Kavuta :
nkosomaga hv vitu tumbo naskia tofaut
2026-10-04 14:56:31
0
marthabahati75
Martha Bahati75 :
nakusuka ndo spendi na staki hata kuskia😂
2026-10-04 11:16:16
0
annaiya962
ANNAIYA🌹 :
Yani Mimi nilivyo sikia hii nyimbo naimba na mimi sitaki kuipit Miyayo kama yote Yani adi kina niuma Halafu Kuna kitu kina nitembea tumboni so kila siku ila kuna muda Nakihis kitu tumboni
2026-10-04 12:18:02
0
sammiy.thailand
sammiy Thailand :
Nikisikia izi nyimbo mwili wangu Una sisi mka nakuota Kama vipele
2026-10-04 08:48:00
0
saidyshm
yumna yusuph :
mbona hizo sifa zake kama mi nnavyojiskia
2026-10-04 09:07:28
0
aishamsemwa548
aishamsemwa548 :
vitu kutembea tumboni mpaka nishazoea
2026-10-03 13:50:32
1
marthabahati75
Martha Bahati75 :
subian anadharauuuu jaman anataka akija abembelezwe asipelekeshwe pia anaringaaaaa uwiiii animating huyo bintiiii sjapata.kuona anaongea anavyotaka yeye syo shida zake
2026-10-04 11:15:42
0
user70513875705303
user70513875705303 :
❤️❤️❤️
2026-10-04 10:12:11
0
maria.malechela
Maria Malechela :
🙌
2026-10-03 17:44:28
0
ussipondo13
ussi pondo :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-03 18:32:19
0
To see more videos from user @nayiraspirit2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About