@gidetv_media: Tukio la kushangaza limeibuka Nyamuswa mkoani Mara, baada ya mwananchi kumweleza Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Mahakama ilitoa hukumu iliyomtaja kuwa amefariki, licha ya yeye kuwa hai. Mwananchi huyo ameyasema hayo leo Oktoba 3,2026 wakati wa mkutano wa hadhara wa Waziri Mkuu na wananchi Nyamuswa, ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani humo. #gidetv #viralvideo #trending #newstoday

🄶🄸🄳🄴 🅃🅅
🄶🄸🄳🄴 🅃🅅
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 09:03:10 GMT
92491
3138
59
136

Music

Download

Comments

stimasudy7
G O P :
mnaikumbuka mov ya hanzah kanuni jaman
2026-10-03 10:13:07
10
bamdogo281
Bamdogo :
sisi madereva wa school bus tunaomba wazazi mpunguze maji kwenye Juice za watoto
2026-10-03 11:01:03
7
user9670786188684
Godfather :
Tanzania is not for beginners
2026-10-03 10:06:51
4
rehemabakebura
Rehema Bakebura :
kama walivyofanya kwa mme wangu traffi wa iringa MUNGU anawaona
2026-10-03 10:37:33
5
user8138494121229
user8138494121229 :
hizi ndiyo mahakama zetu
2026-10-03 10:46:20
5
abdull_hafidh
Abdull Hafidh :
Hawa Ndio Mahakimu wetu
2026-10-03 10:19:42
2
user61332843144
neysam collection :
mbon con hizo kes zikishughulikiwa Kam kwa magufuli
2026-10-03 12:11:10
0
dionisi.mateo
Dionisi Mateo :
niliona kweny movie iyoo xema jamaa akashindwa kuendelez haki yak
2026-10-03 10:51:10
0
princhiusfelcian
prince👑👑 :
ndomaana kesi ya boda inaishia road sababu wanayajua haya
2026-10-03 11:07:06
4
gololo14
gololo :
Uozo wa taasisi chini ya Serikali ya CCM
2026-10-03 11:59:19
4
isaanjiwa
issanjiwa :
imeniuma sana
2026-10-03 10:48:25
1
omaryduruduru2
d2 :
aibu kwa wote waliofanya scandal Watanzania tunashamiri kwa rushwa mmh hata Mahakama tena
2026-10-03 10:27:37
2
salumu.mtokambali
Salumu mtokambali :
ila polis mungu anawaona
2026-10-03 10:37:41
1
salome.swayi
Salome Swayi :
Alooo,Tz,trafik,ni balaaaa😭
2026-10-03 10:33:49
1
misslee632
MissOli👩‍🦰💞 :
sasa mbona kamwambiy akae pembene si angetowa maamuzi apo apo
2026-10-03 14:59:23
0
chizabingi2
user3069699434409 :
haya ni majungu mahakamani hakuna kesi za kuhukumu mtu kafa! hata kama imetokea si kuna mahakama za juu akaombe mapitio, waziri mkuu hana mamlaka kutengua hukumu za mahakama
2026-10-03 15:35:20
0
user273840148203
mh: baraka ngongu 255 :
ni uuuchungu sana
2026-10-03 15:44:08
0
dramourkato
PACIENTE TRADING :
Ai
2026-10-03 10:01:07
0
wema.michael0
Miss M :
mpka aibu jamani ukiiba tu kuku unaambiwa uchunguzi unaendelea lakin wao wala hawana uchunguzi
2026-10-03 13:17:54
0
mgendraphael
Mgend Raphael :
hapo nyamswa
2026-10-03 14:16:42
0
danielfrank7085
Daniel Frank :
vyombo tunavyo viamini ndo hovyo kabisa
2026-10-03 15:41:59
0
mark34480
Mark :
makosa sana
2026-10-03 16:02:45
0
shondeelectrical
SHONDE UMEME 💥🥷 :
Imagine the Burudozaaa JPM ndo amekalia icho kiti na kupewa hayo mashitaka ... 😭😭 mbna wangefurahi ndo maana namkumbuka mwamba Burudozaaa
2026-10-03 14:45:09
0
derricktz1
derrick :
kesi Isha kuwa ngum
2026-10-03 15:44:52
0
rehemabakebura
Rehema Bakebura :
wengine atuna pakusemea
2026-10-03 10:38:13
0
To see more videos from user @gidetv_media, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About