@mtoto_wa_maria: Kama alivyowahi kusema Mtakatifu Padre Pio: Rozari ndiyo silaha yetu kuu dhidi ya maovu yote. Hivyo tuitumie kila siku kumuomba Bikira Maria atuongoze na kutuombea kwa Mungu katika mwezi huu mtakatifu wa Rozari, ili mioyo yetu iwe na furaha, familia zetu zijae upendo, biashara zetu zipate ridhiki, afya zetu ziimarishwe na nchi yetu itawaliwe amani. Bikira Maria Malkia wa Rozari, utuombee 🙏🏼 #furahatemba #virginmary #holyrosary #catholicprayer #fyptrending