@thechanzo: Apinga madai kuwa kafariki Akizungumza katika mkutano wa hadhara wa Waziri Mkuu, huko Nyamuswa-Mara leo Oktoba 03, 2026, mkazi wa Bunda, Ally Simba ametoa malalamiko akidai hukumu ya Mahakama ilimueleza kuwa amefariki.

The Chanzo
The Chanzo
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 09:33:46 GMT
20333
620
18
47

Music

Download

Comments

karinga91
mussakayunikaringa91 :
privacy 🤣🤣
2026-10-03 20:34:37
0
brotherl.com
Brother L :
mara ya kwanza kuona Marehemu anajitetea 😳😳
2026-10-03 15:46:48
6
fadhiliamos
Mwanaharamu :
mauza uza kote kote hali ni mbayaaa adi kwenye kupata haki yako sasa twende wapi
2026-10-03 12:13:40
2
user8746741828032
Jean bosco Joseph :
Kitu ninachokithamini kuhusu Tanzania ni kwamba waathiriwa wanapewa nafasi ya kujieleza.
2026-10-03 14:15:17
2
arushabbt
Pumpkin :
Hii ni tanzania yetu 😂
2026-10-03 13:59:04
1
charzac_advocates
CHARZAC ADVOCATES :
mahakama inaweza kutoa amri ya kuwa umekufa (presumption of death) kulingana na sheria ya Ndoa, Ila suala lake kiukweli pande zote zisikilizwe
2026-10-03 14:02:38
1
frankmanet0
frankmanet :
hilo mtaongea chemba sio hadharani
2026-10-03 18:32:33
0
hamisallyjr1
blacklives :
abhikizo bha nyamuswa
2026-10-03 13:53:02
0
japhet.maxcel.jon
Japhet black king :
kwan mzee simba yupo wap
2026-10-03 11:32:20
0
rahim_meghji
Rahim_Meghji 🇹🇿 :
Duuh
2026-10-03 15:39:54
0
crmichambo_
CR MICHAMBO😂🔵 :
🤣🤣🤣hii nchi 🙌🙌
2026-10-03 12:10:01
0
feroozjr
FeroozJr :
2026-10-03 13:49:16
0
ibrahimmistaazam
ibrahimmistaazam :
daah Dunia aina huruma
2026-10-03 11:06:00
2
jpm7298
JPM :
aisee. hii Tanzania Hadi unajiuliza maswali Hadi kichwa kinauma.
2026-10-03 10:59:09
1
mussapeter92
£MP746831∆ :
awe makini kuna aliambiwa atasikilizwa akapotea,yule askari
2026-10-03 17:41:09
0
ken_psp
Ken :
Hii Nchi jau sana Kmmk😂😂😂😂
2026-10-03 11:09:54
0
theking26kong
Dikteta Mama and 45,912 others :
😭😭🤣
2026-10-03 10:52:24
0
sendynavigator
sendy navigator :
[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-03 11:15:58
0
To see more videos from user @thechanzo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About