@cawabemedia_: Mwanaume aliyetajwa kwa jina la Laurent Kweka anatuhumiwa kumuua mkewe, Jenipher, kwa kumpiga risasi katika nyumba yao iliyopo Bunju A, Mtaa wa Mkoani, Zone ya Senzele, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Shina la Mtaa wa Mkoani, Lucia Shirima, tukio hilo lilitokea alfajiri ya Oktoba 1, 2026, baada ya kupokea simu kutoka kwa mfanyakazi wa ndani wa familia hiyo aliyemweleza kuwa, “Baba amemuua Mama.” Shirima amesema baada ya kufika eneo la tukio, aliwasiliana na viongozi pamoja na Jeshi la Polisi ambao walifika katika nyumba hiyo. Amesema walipoingia ndani, waliukuta mwili wa Jenipher ukiwa upande wa kushoto pembeni ya kitanda, huku Kweka akiwa hayupo eneo la tukio. Baadaye walipata taarifa kuwa Kweka alikuwa ameenda kujisalimisha Polisi. Mwenyekiti huyo amesema wanandoa hao waliwahi kuwa na mgogoro kuhusu hati ya nyumba kabla ya tukio hilo. Hata hivyo, taarifa rasmi kutoka Jeshi la Polisi kuhusu tukio hilo bado haijapatikana. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, hakupatikana kwa simu, huku simu ya Kaimu Kamanda ikiita bila kupokelewa.

cawabemedia
cawabemedia
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 09:48:42 GMT
48747
705
37
54

Music

Download

Comments

mwavipa
MyahudiwaTz🇹🇿🇷🇴🇪🇺🇹🇷✝️ :
binti atakuwa alisema ukifa je tutaishi wapi sisi jamaa kamtanguliza kwanza yeye
2026-10-03 15:23:45
3
revocatusshirima7
Revocatus Shirima :
tamaa za mali
2026-10-03 12:33:13
2
irenearon0
🌸 IREN 🩵🦋 :
2week au
2026-10-03 17:43:42
1
sinyorithamacha25
RITHA 001 STORE :
Nyumba anayo Kobe kila mahali anaenda nayo hata akifa anakufa nayo mungu atusaidie sana
2026-10-03 16:58:21
3
ney34372
Ney :
bora kila mtu atafute vyake tu kama ni hvyoo
2026-10-03 14:17:50
1
candour6
Candour Monotheist Honour :
watu wanapitia mapito Na hawasem mpka maut
2026-10-03 14:08:56
2
user4792933036559
naylemlaizer2 :
nyumba nzuy
2026-10-03 19:48:46
0
winfrida776
winfrida :
dah 😭😭😭
2026-10-03 19:02:40
0
tee_travis11
Tee_ :
wafia ndoa hi😪
2026-10-03 19:02:04
0
joycekasunga
joycekasunga :
Rip
2026-10-03 11:44:19
0
anwar.alnoor6
Anwar Alnoor :
tamaa mbaya sana
2026-10-03 10:47:51
2
mzungu_wa_roho
Mr. Sokwe :
bibie alitaka hati nini?😳😳
2026-10-03 12:59:25
6
nyakhenoga
Nyakhenoga :
kwani mwanamke aliku w mchaga?
2026-10-03 16:47:08
2
lucyprinces1
lucyprinces1 :
kumbe Kuna watu wanaish na bastola🤔
2026-10-03 12:59:05
4
wwwgmail.com357
ذات هيبة❣️❤️ :
Kuanza moja inauma ila ni afadhali
2026-10-03 12:58:07
4
jacob.abunuas
Jacob Abunuas :
mali ya baba inakutoaa roho bora nikae pembeni niinusuru roho yangu mie
2026-10-03 14:39:34
2
user2622410668144
jenipha Noel :
hii ndo tunagawana majengo,ila mme wangu akimilik bastola siwezi furukutamm😁
2026-10-03 17:40:46
1
maumau.march.mwan
Maumau march Mwana wa adamu :
wana wake nyinyi aise
2026-10-03 13:30:19
1
mwawalifetime
lee-don-work :
bodaboda anajua mambo ya familia hii ni hatari sana bodaboda anatumwa apeleke barua....
2026-10-03 13:58:15
2
user1250925425315
J A N E T H🦋 :
tamaa mbele mauti nyuma wahengaaaa
2026-10-03 11:42:46
2
victor.ben3
victor ben :
ndio maana sijawaza kua na silaha.. magereza pabaya
2026-10-03 13:28:30
1
kelvincharles90
KELVIN CHARLES :
mwanamke ana tamaAaa 🔥🔥🔥
2026-10-03 18:14:41
1
jacob.abunuas
Jacob Abunuas :
😁
2026-10-03 17:16:21
1
happyness.noel7
Happyness Noel :
😳😳😳
2026-10-03 17:48:37
1
makukalusoli
makuka🌍🇮🇱 :
[Heartwarming][Heartwarming][Heartwarming]
2026-10-03 14:57:17
0
To see more videos from user @cawabemedia_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

Welcome to Bealach na Ba!  Commonly known as The Applecross Pass, this road has the steepest ascent of any road in the United Kingdom.  The hairpin bends wind up to the 2,054 feet summit with stunning views if you can handle the terrifying twists and turns! Set in the Applecross Peninsula, its single road track even features a turn known as ‘the devil’s elbow’ which is extremely tight and unforgiving!  A popular route to or from Applecross on Scotland's NC500. However, I would be very wary about taking it on in a motorhome or bigger.  I personally only drive it at sunrise in my van, firstly for the views looking back down the road and in the opposite direction to the Isle of Skye from the summit but ultimately, I get it to myself & it's less 'nerve-wracking' to drive. Whenever I'm on the NC500, I always buy local & from honesty boxes along the way outside of farms and take advantage of the freshest fruit and veg I've ever tasted.  Buy local, dispose of your rubbish appropriately, be considerate on the roads for locals, they'll appreciate it and pay you back in kindness I guarantee it!  In winter, it's often impassable to pay attention to the conditions and signage along the way!  #Scotland #scottish #vanlife #vanlifediaries #vanlifer #nomadlife #scotlandexplore #thisisscotland #unlimitedscotland #unlimitedbritain #ukexplores #explore #travel #adventure #visitscotland #scotlandisnow #yourscotland #instascotland #roadtrip #hiddenuk #hiddengems #nc500 #scotlandtiktok #scottishtiktok

About