mbn kama nilisikiaga baadhi ya Kaya walishapewa maeneo kule karibia na makuyuni ??
2026-10-04 12:25:31
2
G&H❤️💝 :
kazi tunayo
2026-10-04 06:14:41
3
mulhaty55 :
home
2026-10-06 08:23:45
1
erick boers :
daaa Mungu aepushe sio poa
2026-10-04 20:39:11
0
sabbymaulidy :
Poleni sana
2026-10-04 08:42:08
1
neely🚫 :
diwan wangu joseph
2026-10-04 11:25:45
0
mtoro's daughter :
Duh wa magadini ya chini tujuane mafuriko si poa kabisa.
2026-10-05 16:04:00
1
lucy :
Mungu tutetee hatuna pakukimbili
2026-10-04 11:17:33
1
king.moses90 :
Bado hatujasema
2026-10-05 04:20:23
0
mamen mkushi :
mungu akawatamgulie jamony
2026-10-05 17:57:37
0
Mama Criss♥️ :
magadini jmn🙌🙆
2026-10-04 07:30:49
0
jack :
tena mnazi mmoja daaaa Mungu tusaidie
2026-10-04 04:53:34
1
Omary Hamisi :
wengine tumesha sepa
2026-10-04 16:39:06
1
3CarbonX :
hili balaa
2026-10-04 08:59:40
0
Adventist-lady🥰🥰 :
khaa😂
2026-10-03 22:40:14
0
Martha The Savannah Whisperer :
sa tutaenda wapi jamani
2026-10-04 05:36:32
0
pendo..# :
Mungu atupe mvua ya kiasi jmn. yakawaida tuu, tunakoma Sasa ikija hiyo tuta PONA kweli?
2026-10-04 19:57:13
0
@meghan wonder ❤️_02 :
kazi nzuri
2026-10-03 11:37:16
1
rdns pcm one :
ucsahau magadin ndio hatar
2026-10-04 11:22:08
0
vinah🙈🌹 :
yaan uko kpndi cha mvua wat wanatumia mitumbwi ,. kwa ufupi wat wanageuka 🐟🐠😳😎
2026-10-15 22:41:58
1
user46396216153626 :
Mtaro wa kilometer 2 unachimbwa kwa mikono na wananchi kweli na Serekali ipo na kodi inachukua bila Aibu . Kwani wangewapa wananchi excavator ( Kijiko ) ikawasadia kuchimba na wananchi wakaiwekea mafuta si mtaro ukingekuwa mkubwa zaidi kuliko huo wa kichimbwana mikono tu ( inasikitisha sana jamani))
2026-10-04 08:59:01
1
Aggie🦋 kimaryo🫂 :
Tunapigwa na maji na atuhami ila sisi
2026-10-04 05:20:22
2
FRANK JM% :
magadini ya juu tujuane hapa😅😅😅
2026-10-04 21:56:26
1
🇹🇿The Story About Africa🌍 :
KWANI MTO WA MBU NA HILO TATIZO NI MANDUGU.... HUO MJI UNA MIAKA MINGI NA CCM WANAJUA....
2026-10-09 09:37:56
1
Lizzy Heroine :
Jmn mafriko ya magadini huwa ni nomaa jmn Stokaa nisahau mm Mara yakwanza kuona mafriko ni 2018 weeee wale ruba wanakuja namafriko kutoka kwny majaruba
2026-10-04 06:21:48
0
To see more videos from user @mwana_wa_asafu, please go to the Tikwm
homepage.