@kamembe.technology:

kamembe Technology
kamembe Technology
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 10:02:52 GMT
23342
968
45
31

Music

Download

Comments

hoks12346
hoks :
Hold Shift + shutdown Simple
2026-10-04 12:21:29
0
ginimbimesso255
ginimbi messo :
daaah so poe
2026-10-04 11:05:26
0
isackmmg7
Isack MMG :
Kwann waliweka iyo option
2026-10-04 09:12:26
10
bsadick
@VIPOST :
tatizo kujifanya ujuaji walio tengeneza unazani hawana akili au uliona wapi wanao unda izo pc wamesema vizuri kuzima kwa njia iyo
2026-10-04 15:53:11
1
andrewkini
DreChitto :
Au Hold Shift + Click Shutdown
2026-10-03 18:33:32
3
dmotechnology
DMO TECHNOLOGY :
hiyo ni shortcut sister 😂
2026-10-04 14:01:38
1
moody_gamesz
Moody :
Haya banh😂 !!
2026-10-04 07:00:10
2
kingdom.life32
Kingdom Life👑🇹🇿 :
ila watu Wa Tech kwahiyo iyo optional waliweka ya nn sasa? acheni zenu option za kuzima PC zipo zaidi ya 3😃
2026-10-04 13:55:46
2
the._preacherboy
lutasingwa :
hiyo ni short cut
2026-10-04 15:43:44
1
muganda_845
#DMS :
Sawa window x double u, hybernate
2026-10-04 15:42:28
0
samirtz9
Samirtz :
ikifa tutanunua nyungine hata binadamu tunakufa
2026-10-04 09:26:59
1
michaelking467
the real king :
mwezi wa Saba huu sijawahi Zima PC yanguu😂😂
2026-10-03 14:08:18
3
pintowamanzi
PINTOLAKAKA🫵🫵 :
jina la hii account ukitoa m ya kwanz na ukawek n si itapendeza
2026-10-04 16:35:40
0
topnotch497
gamer44 :
mama tumeanza kutumia MS Dos haikua hata na user interface hadi kufika windows 95 tukapata hivyo vi batani kipind hiko kwenye computer za IBM unawasha PC na funguo kama ya mlangoni[Big LOL] browser enz hizo ni moja tu Netscape eb tupumzishe kidogo
2026-10-04 10:34:21
0
edger.ezekiely.te
Edger Ezekiely Tesha :
nitanunua nyingn kwan ni jiwe hil kwamb itakuw nzim milel
2026-10-04 09:32:57
0
user19700914676093
Yohnchey :
Ila ukiwa unataft comment???
2026-10-04 15:14:40
0
wizzydeboy
Willy Mahenge ⛎ :
process zote hizo za nn kwan ukutan hakuna switch
2026-10-04 12:21:15
0
user5677963841540
Bariki Silaa :
Hapana dada umejitahidi ila ujaelezea vizuri coz unaweza ukatumia shutdown ila Kuna vitu unatakiwa u set
2026-10-04 12:42:01
0
offmuddyjr
Muxinny.dax :
na haitawaka tena😔
2026-10-04 11:21:07
0
_sinclair0
水👻 :
2026-10-04 11:16:49
0
lil_maker_pro
Lil Maker pro :
hhhhhhhh uyu naeeee
2026-10-04 16:21:18
0
_movieholic
Rex :
Umesahau kuwaambia hiyo ni kweli kama itakuwa ume enable Fast startup tu
2026-10-04 12:07:46
0
owesijr7
Papa Fololo tz :
it kila siku ananiambia hujazima PC siku 160😂😂😂
2026-10-04 11:46:54
0
stephengodwin08
Stephen :
Mbona unatuchimba mkwara Sasa wakati ni yangu🥱
2026-10-04 11:45:50
0
shonyella
Yassin :
Kwa iyo we ndo unajua sana kuliko wazungu waloweka hii option ya shut down?
2026-10-04 13:30:47
0
To see more videos from user @kamembe.technology, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About