@mahirhassanmbarouk: Shehe Mselemu Bin Aly Anasema: 🕌ZAMANI bikra walikuwa wengi. 👰Leo ukitafuta mke bikra ni kama unatafuta sindano baharini. 🌊🪡 Sio kwamba hawapo, ila wamekuwa wachache sana. 😔 Dunia ya leo inawadanganya kuwa uhuru ni kujiachia. ⚠️ heshima, ni amana ya wazazi wetu, na ni zawadi 🤲Tumrudie Mungu, turudishe malezi ya dini nyumbani kwetu. 🙏#SheheMselemuBinAly #Mawaidha #Ukumbusho #HassanBinKishiri#MahirHassanMbarouk