@uhondo.tv: Tukio la kushangaza limeibuka Nyamuswa mkoani Mara, baada ya mwananchi kumweleza Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa amekumbana na changamoto ya kisheria ambapo Mahakama ilitoa hukumu iliyomtaja kuwa amefariki, licha ya yeye kuwa hai. Mwananchi huyo ameyasema hayo leo Oktoba 3, 2026, wakati wa mkutano wa hadhara wa Waziri Mkuu na wananchi wa Nyamuswa, ikiwa ni sehemu ya ziara yake mkoani Mara. #UhondoTVUPDATES
WAZIRI MKUU Hilo halina kutabasamu....nashangaa unapo toa tabasamu....Moja ya chanzo kikuu cha matatizo ya hapa nchini ni WIZARA YA MAMBO YA NDANI...Polisi na mahakama vibadilishwe mifumo yake....ina taratibu za Mkoloni
2026-10-03 12:23:53
0
Misango :
kumbe Wana mara Kuna siku tuna kumbukwa mm huwaga nadhani ni kipindi Cha kapeni tu
2026-10-03 12:08:29
0
Elias Andrew :
Tukisema hii nchi inashida msituone wabaya.
2026-10-05 13:29:41
0
jmboy clasic :
mahakama za Bongo changamoto
2026-10-13 09:13:14
0
IDDI SENDORO :
🤣🤣🤣
2026-10-03 11:49:56
0
To see more videos from user @uhondo.tv, please go to the Tikwm
homepage.