@iam_johnbway: ILIKUA COMEBACK YA KIHISTORIA...ILIKUA ZAID YA MECHI #SIMBA VS #mbao #short #foryou #usa

JOHCOUNTRY_BWAY
JOHCOUNTRY_BWAY
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 11:17:47 GMT
164403
9294
176
203

Music

Download

Comments

baghature001
Baghature10 :
comeback ya maana
2026-10-03 21:42:10
0
user6055944079021
Wa gunda :
cameback ya kibabe xana hii
2026-10-03 16:56:11
0
big_lee360
BigLee :
mtangazaji km hstaki kutangaza si angeacha tu sasa ndio nini, "et goo simba wanapata bao" 😂
2026-10-04 05:13:25
21
billget73
Richard jewelry :
ila tuache utani bwana uwanja ulikua mbaya Sana
2026-10-04 07:18:09
4
yudakyando7
msakatonge :
ila mpira zamani kabla haujachanganywa nasiasi watu walikua wanajaa sana viwanjani
2026-10-03 15:09:31
29
mussanairowa
Mussa Nairowa :
umeniliza
2026-10-03 16:11:52
0
tozzyx45
FRENK 4️⃣5️⃣🇿🇦 :
Azam 2 ndo ilikua unaonyesha mpila😂😂
2026-10-04 07:37:47
3
james.teminao
James teminao :
daaah Azam mrudsheni Hassan mvula aisee jamaa anajua kutangaza sanaa magharibi ya roho
2026-10-03 13:38:23
12
www.godfrey.com7
pére nourrisson :
mtangazaji kam ajapenda ivi sikia iyo gooo
2026-10-04 07:24:24
1
alhabibiy
Addicted :
mtangazaji aliumia kuliko mbao😂😂
2026-10-04 07:23:35
2
rubeni.paulo3
Rubeni Paulo :
ulilekodi kwa kutumia sim
2026-10-03 13:24:16
1
djan.boe
Djan boe :
duh ilikua so poa
2026-10-03 13:05:24
2
juma.bashiru3
Juma Bashiru :
naikumbukaehii mechi
2026-10-03 14:50:26
1
user8372870304685
user8372870304685 :
hii ya mwaka gan
2026-10-04 08:44:21
0
roja.mkaliwao.tz
Roja Mkaliwao Tz :
mechi hii nakumbuka nilikua kwenye dara dara nilishangilia gali zima wakawa wananiangalia mimi 😂😂😂😂😂
2026-10-03 17:16:25
2
tiger.the.one0
Tiger the one :
mwaka gan hii
2026-10-04 05:04:59
0
adams1430
Adam Moh'd :
gooooo ila mtangazaji 😁😁😁😁
2026-10-03 14:23:00
0
plantboy53
Plant Boy :
noma san
2026-10-03 13:06:13
1
latitudtz81
HP@2020 :
shida mtangazaji amepoaa sanaaa angekua anatangaza mpenja hii game ingependeza zaidi
2026-10-03 17:38:23
0
jovypery8
[email protected] :
iv uy mtangazaj aliend wap
2026-10-03 19:13:41
1
deebo377
Allybashir@. :
nani alifunga gollli la kwanza lla simba
2026-10-03 15:43:01
1
muinamuina478
wiz kadu :
moments Bora kaka
2026-10-03 14:06:37
0
mussafracis
Mussa Francis :
ilionyeshwa Azam two
2026-10-03 13:37:12
0
mr.punguzo.connec
Mr Punguzo Connection :
mtangazaj alikuwa yanga huyu
2026-10-03 19:00:26
2
geofreycharles
geoh_17 :
nachofurahia tu nkwamba hili mechi lilisimuliwa na Ahmed Alliiiiiiii😂😂😂😂
2026-10-04 03:55:07
4
To see more videos from user @iam_johnbway, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About