@chamulungu_tv: MAISHA YA MANGE KIMAMBI YAMEKUWA MAGUMU? Mange Kimambi analalamikia gharama ya mafuta inayofikia USD 7.39, sawa na takribani TSh 19,504 kwa kiwango cha sasa cha ubadilishaji. Je, maombi ya Watanzania yanaanza kufanikiwa? 👀 AMERICANS, HELP TANZANIANS 🇺🇸🇹🇿 TO BRING BACK MANGE KIMAMBI! Safari ya kuhakikisha Mange Kimambi anarudi Tanzania inaendelea. 🔥 #BringBackMangeKimambi #AmericansHelpTanzanians #MangeKimambi #Tanzania #Tanzanians

CHAMULUNGU_TV
CHAMULUNGU_TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 11:20:16 GMT
21357
309
14
11

Music

Download

Comments

user9097684609743
user9097684609743 :
mnachokoza 🇮🇷
2026-10-03 14:34:50
1
salummuya686
farmer OG :
Waambie waandamane
2026-10-03 14:27:57
2
pharmglory
G~Pharmacist :
One gallon ni 5L almost
2026-10-03 14:51:18
0
na22069
Na :
Mh mbona mm simuombei mabaya kabisa kwanza nampenda sn huyo dada🥰🥰🥰
2026-10-03 11:49:07
1
lowlife064
lowlife :
tuna kupenda lakini usijitambe
2026-10-03 15:23:42
0
amb11360
Amb :
mbona hamuandamani
2026-10-03 12:45:38
0
1978kjk
khamis :
kisha ukikaa kwenye mitandao utudanganye kuwa tunaonewana Serikali kuuziwa mafuta kwa TZS 4000 wakati wew uko unanunuwa kwa zaid ya 20k na haujaandamana wala aujahamasisha maandamano
2026-10-03 14:22:31
3
user131561855
user131561855 :
sasa unasema ya nini waambiee waandamane mafutaa yapunguee mchawii wa maisha ya watu
2026-10-03 14:10:46
1
omary.bopary
Omary Bopary :
ha, kigagula
2026-10-03 15:02:05
0
alibhaikarimj
Alibhai Karimj :
ukome ingia rodi sasa
2026-10-03 14:51:49
0
kalilatz
Kalila :
Peleka malalamiko yako kwa trump
2026-10-03 14:48:51
1
mussa.killo1
Mussa Killo :
😁😁😁bado hamjasema mlimchoza iran kwa ajigani?
2026-10-03 13:40:51
0
pzonne
Privadinyo :
[Innocent][Innocent][Innocent]
2026-10-03 15:26:28
0
To see more videos from user @chamulungu_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About