@jukwaa.la.maarifa: Dkt Sheikh abdulrazak Amir Ameongea Kuhusu Mwenendo Wa Baadhi ya Watoto Ambao Kwa Kiasi Kikubwa Katika Mazingira Yao ya Kila Siku Wanaonyesha Wasiwasi Mfano Mtoto Kushindwa Kuonekana Na Tabia Za Kitoto za Utundu Mtoto Anakua Amepooza Kama Mzazi Lazima Uhakikishe Unaanza Kufuatilia Mwenendo Wa Mtoto Wako Endapo Ataonyesha Baadhi ya Viashiria ikiwepo Mtoto Kutochangamka