@mbashatv: hakuna kujisajili mara mbili kama ushajisajili nida #mbashatv #rita #nida #tanzaniantiktok🇹🇿 #SinglePhoto

Mbashatv
Mbashatv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 12:26:24 GMT
109483
2029
92
61

Music

Download

Comments

user21661494040811
robina :
nakama sikupata kitambulisho nikapata naomba je
2026-10-03 12:33:23
2
aishamussa269
quěëñ :
namba ninayo ila kitambulisho sijapata nimefuatilia mpaka nimechoka
2026-10-03 16:51:53
3
suzan.deus59
Suzan Deus :
Mimi nilitumiwa namba kweny simu kesho simu ikiimbiwa mnanisaidiaje
2026-10-04 16:33:16
0
cassy1gamer
Cassy1Gamer :
mbona mimi nimejisajili mara 2 na wamekubali
2026-10-04 13:04:04
1
mary540748
🦋🦋Mrs 🌷jovinson 🌸 :
kitambulisho kinakaa mda gan mpaka mtu kupata
2026-10-03 19:16:37
0
abdalahsharifu679
Abdalah Sharifu :
Mimi imamu mahdi na waambiya hatutaki vitambulisho vitambulisho vyetu ni allah
2026-10-04 12:51:37
1
melesiana15
Melesiana :
dada mimi sima una nisaidiaje kipenz
2026-10-06 14:13:04
0
jenniferkilonzo7
jenny bby :
mimi sina cheti chakuzariwa
2026-10-04 08:18:50
1
ngushi44
MWANG’ONDA ALMINIUM & UPVC :
Nina kitambulisho kimechakaa nimeenda nida nimeambiwa nilete document zote upya
2026-10-03 13:46:41
0
user540813242659
neema :
kamanimepoteza kitambulisho nifanyeje
2026-10-05 14:30:40
0
kidostoresinza
KIDO STORE SINZA :
mbna sasa vikad hamtoi mara hakipo sasa tufanyeje mnatuzungusha
2026-10-05 17:25:01
0
kahaga.boy
..KEVY KHAN ~✨️ :
kadi ya nida inatoka baada ya mda gn??
2026-10-05 16:55:55
0
user7766852621806
sophia :
mim nmepata namba halaf nipo zanzibar nawezaj kupat
2026-10-05 15:13:55
0
user6349247091073
silicone :
mm nilifany marekebish ila sijapew kitambulish jamn
2026-10-05 12:14:52
0
nurdinmwenda
nurdin :
mim kitambulisho changu kimefutika je naweza nika pata kingine
2026-10-05 19:15:10
0
yunomaxter
yuno maxter :
kitàmbulisho kinachukua mda gan
2026-10-03 13:28:49
0
salminlijonjo
🔥Jo boe🔥🔥 :
nataka nianze nifanyej
2026-10-03 14:11:33
0
ansoko3
Azam one :
dad toka nilipata namb za nida wakaniambia kitambulish kikiwa tayar watanipa taarifa mpak leo hizo taarifa sipat ili nifuat kitambulish cha taif
2026-10-05 17:49:11
0
user1829272556617
faidha :
miye pia meseji niliifuta bahati mbaya nitaipataje namba yang yanida
2026-10-06 18:24:07
0
kazukutakatekarin
KAZUKUTA KATEKA RIN :
Mimi kitambulish kimepotea mnanisaidiaje
2026-10-06 07:17:44
0
akwilinaelieza
bint Elieza :
mimi nataka kubadilisha majina yote inawezekana na nida nilisha pewa 2018
2026-10-05 05:52:39
0
sey.erenest
sey erenest :
abali
2026-10-05 05:44:41
0
user1107312536038
wema :
mimi ninacho kitambulisho lakini nikitaka kuKitumia kama kusajili laini wanasema kimefungiwa
2026-10-05 05:01:49
0
jimbojimbo3968
Jimbo Jimbo :
nilishapataga nida muda lakini kimeharibika mno kipo vipande vipande nifanyaje ili kupata kitambulisho kipya yaani kadi yenyewe?
2026-10-05 01:31:20
0
yusuphmarco867
[email protected] :
dada habari? samahani naomba kuuliza., Mimi nimeshajisajiri Na Namba ya Nida nikapata Lakini nimeenda ofisi ambayo nilijiandikisha wameniambia zilirudishwa makao makuu Mimi naweza kupata msaada kivipi Jaman?
2026-10-03 14:22:35
0
To see more videos from user @mbashatv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About