@habarimpya_tv: Paul Makonda Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo na Mbunge wa Arusha Mjini.

HabarimpyaTv
HabarimpyaTv
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 12:35:02 GMT
41981
1569
164
98

Music

Download

Comments

rizkii3982
Emanuelson Mlay :
mji hauna ata stendi
2026-10-03 13:07:21
19
thehante
Brain 🧠🧠 :
😂😂yn nimechekaaaaa hahahah aiseee heeeh jamn tusomee jamn 😂😂
2026-10-03 14:50:40
0
zookey09
zookey :
ibrahim traole typing.......
2026-10-03 15:00:26
1
tiroboyofficial
tirobrainer :
Watu wanawaza kujenga viwanda hawa vilaza wanawaza misikiti na makanisa
2026-10-03 13:09:39
20
allymkm2323
✨✨millito💫 :
ukijenga kiwanda mnaajiri vijana kibao ambao Awana kazi. nchi ngumu Sana hii
2026-10-03 14:24:35
5
lucksonkilupa
luckson kilupa :
nlikua sijui kumbe kujenga nyumba za ibada ni kaz ya serikali
2026-10-03 13:25:03
6
alex.mosha04
Alex Mosha :
akili ya CCM ni matope kiwanda cha hiyo pesa kitaajiri watu eangapi
2026-10-03 13:43:22
1
mikejonathan66
raymond87 :
vice president anatafuta fedha za kuwapa vijana internship kwenye taasisi mbalimbali...huyu anatafuta za kujenga msikiti wa utalii😂😂😂😂
2026-10-03 15:31:26
1
trayjr4
Junior 14_🛍️ :
What for?😁😁
2026-10-03 12:48:31
2
sultanmaestro
Sultan sultan :
wengi hawato muelewah ila kumbka huy ni waziri wa utamaduni na utalii so Yuko ndani ya scope yake
2026-10-03 13:50:36
1
ilraf87
Peach🌝 :
amin
2026-10-03 13:32:09
2
mr.osaze12
Osaze :
khaa misikiti imetosha
2026-10-03 14:38:51
0
ghurabaaa0113
Abuu ubaydah :
aliokwambia misikiti niyakutaliii ni nani?
2026-10-03 15:35:34
1
user1919979616206
fadhili :
nan kawaloga jenga viwanda vijana wap ate ajra watanzan mna nn lkn
2026-10-03 13:33:44
1
mr.v.t2
Mr.V.T :
BADALA YA KUJENGA VIWANDA...LAZIMA TUWE MASIKINI KWA STAILI HIII.....JENGA VIWANDA WEKA MAWAZO...MAKANISA NA MISIKITI INATOSHA...DUUU...HUYU MUNGU KUNA NAMNA TUNAMPA KAZI NYINGI
2026-10-03 13:30:43
0
bobokamabobo
Sponsor😎 :
traore msinipe misikiti makonda tutajenga msikiti
2026-10-03 13:31:02
4
ronaldmwandambo
THE CHOOSEN :
HIZO PESA BORA ZIWEKEZWE KWENYE MITAJI KWA VIJANA
2026-10-03 15:30:51
0
vaspuracan3
vaspuracan :
mashallah 👍
2026-10-03 13:32:33
2
00000078rt
nixonjr :
stendi kaka
2026-10-03 13:18:26
1
str33t_runner
STR33T_RUNNER :
Bilion 21 tunapata shule 5 vituo vya afya 4
2026-10-03 13:19:48
4
honeybadgersafari
honeybadgersafari :
Sadaka itakuwa shingap per day au tujenge vituo vya afya na shule watu wapate afya njema na elimu kujenga taifa bora la kesho
2026-10-03 14:10:25
4
no.body108
[  ] :
Dola Milion 80 ni sawa na Bilion 200 na Zaid.... we Bilion 21 umepata wap?
2026-10-03 13:34:11
2
mwakalubunju
mwakalu bunju :
mmh mkuu vipi kuhusu mpango wa kumleta RAMBO
2026-10-03 13:32:21
3
shilla.haonga
Shilla Haonga :
Hilo ni jumba la utalii sio wa swala
2026-10-03 13:32:40
2
user7079617481251imrany
user7079617481251imrany mfanga :
hakika kiongoz
2026-10-03 12:50:11
2
To see more videos from user @habarimpya_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About