na kibaya ni kwamba hatuweziii mjua mtu sahihi๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ๐ญ
2026-10-28 10:41:53
5
D.boy :
mm nawaonea huruma xana dada zangu Maan ni ngum kutambua mtu xahihi ni yupi kila anaekuja anakuja kwa nia ya malengo ila akixhapat akitakach anasepa na Sam time anaweza akawa na msimam mwixh wa ck anajikuta anampotez mtu sahihi bila yeye kujua. mm niwape pole tu kwa huu mtian mliopew mpo katk wakat mgum xaaaan๐ค
2026-10-04 14:26:57
11
Sesy Mlay :
God bless
2026-11-13 22:18:54
0
Hidaya :
Alla akulinde akuondolee kila ubaya na akulinde nao pia na maisha mema yenye furaha amani na upendoโฅ๐
2026-11-11 14:32:32
3
preet..@gee :
Namshukuru MUNGU kwa kunipa roho ngumu hata kama wanasema Nina madharau najua mwenyewe nachokitafuta
2026-11-13 05:57:46
1
Jennifer ๐ฅฐ๐ฅฐ :
kaka m sija wahi kumupa mwili wangu mtu yoyote ila nikiingia kwenye mahusiano anavunjika halaka malafiki zangu wanasema niwapa wanacho taka ndip nitadumu kwenye mahusiano naomb jb nifanyej mm
2026-10-27 11:04:04
1
mmmmm :
Asante my brother
2026-11-11 11:24:22
3
swagger :
siyo wote kaka ang wengn mpk cahv tupo nao japo tushalala nao mbn m wang nipo nae mpk sahv na mwili wang nixhampa tena xana ila bado tunadate ๐
2026-10-19 06:35:30
0
Aphyline :
ni ukweli
2026-10-16 19:18:10
1
joy :
daaah wanaume apana hauwezi jua kama nijeuli baada ya kuchezewa nakuachwa ndipo unapo jua ila mungu atawaripa kwakuvunja mioyoyetu
2026-10-18 12:33:51
3
fayy17 :
asantee San kaka angu
2026-10-23 16:43:44
1
misssyyyyy :
daa ilaa hiyoo ni ukwer mtupuu
2026-10-20 16:42:52
2
hekimanemes :
daa iiiiiiiiiiiii nalia mie
2026-10-17 06:27:31
1
lucy :
amina san kak ubarikiwe na mung akuzidishie upeo wako uwe wa dhaman zaid ya apa
2026-10-12 05:30:02
2
Amina :
Asante kaka mung akubark
2026-10-17 07:01:13
1
Swammy girl :
kweli bro ilo natoa saport
2026-10-16 19:13:47
1
Selini@๐ค :
asate san kaka yangu mungu azidi kukubaliki siku zote