@sekavu30: Siku ya kunyongwa kwake ilipowadia, Saddam Hussein alipelekwa mbele ya askari waliokuwa wakisimamia utekelezaji wa hukumu hiyo. Kabla ya kila kitu kuanza, aliulizwa kama alikuwa na ombi lolote la mwisho. Badala ya kuomba chakula, maji au nafasi ya kuzungumza na familia yake, Saddam alitoa ombi ambalo halikutarajiwa. “Naomba niletewe koti langu.” Waliokuwepo walibaki na mshangao mkubwa, wakitaka kujua kwa nini angehitaji koti katika dakika zake za mwisho duniani. Kwa sauti ya utulivu alisema: “Baghdad ni baridi leo. Sitaki mwili wangu uonekane ukitetemeka, watu wangu wasije wakadhani ninaogopa kufa.” Mpaka dakika za mwisho, alionekana kutaka kubaki imara mbele ya macho ya dunia — akisisitiza taswira ya ujasiri na kutokuonyesha hofu hata alipokuwa anakabiliana na mwisho wa maisha yake. #malashiupdates #fypシ゚viralシ #sekaTv
SEKA30
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 13:00:26 GMT
Music
Download
Comments
Haji Mohamed :
ALLAHUMMA GHFIRLAHU WALHAMHU HAWA NDIO WALIKUWA WAKIUWEKA UISLAM NA KUTETEA HAKI ZA WANYONGE
2026-10-03 14:49:44
383
🌸Zuri🌸🧕 :
Ningekuw mm ningeomba nisali ata walau rakaa mbili tu nimuombe mola wangu tawbah 😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-04 10:06:22
66
SEKA30 :
IVII ALINYONGWA NA WAMAREKANI ,AU WA IRAKI??
2026-10-04 00:57:22
16
anuni :
Allah amsameh makosa yake yarabby amjaalie janna ndio iwe makazi yake
2026-10-03 20:52:43
96
sada :
hivi alifanya Nini, ckwenda shule msinicheke
2026-10-03 19:21:46
20
Hamis Ramadhan :
hisiku naikumbuka sana machozi yalinitoka mana niuonevu uliopitiliza
2026-10-03 18:49:55
22
rukaiya :
Mwenyez mungu ailaze toho yak mahal pema
2026-10-03 17:08:40
49
user7212504878619 :
kafanyaje kwani hadi akanyongwa
2026-10-03 15:37:02
8
@mushkani-🏄 :
Cjui ilikuwagajee adi akanyongwaa lakini chozi limenitokaa ya allah forgive us and bless us good end🤲🤲😭😭😭😭😭😭😭
2026-10-03 19:51:47
10
Miriyam :
😭😭😭😭😭😭 Mbona nimejisikia uchungu jamani dah dunia hii apana
2026-10-03 18:40:17
27
Being_Rachma🦋 :
Ya Rabbiy ikiwa uliwaridhia waja wako hawa, naomba ukawaweke daraja za juu wakae na Mtume wetu kipenz rehma na amaniiwe juu yake .aaamiiin
2026-10-04 06:20:47
33
Nanah 😍 :
jmn naombeni mnieleze alifanya kosa gani hadi kunyongwa kwake
2026-10-04 09:37:15
7
BUDDA PEST 1️⃣0️⃣0️⃣ :
jaman tushindaneni kufanya mema hicho ndio muhimu Mungu ampunguzie adhabu za kabur assalamualaikum 🤲🙏
2026-10-03 20:03:23
12
thabit97 :
Mwenz mungu amuhifadhi sehemu nzur shujaa wa dini ya haki uslamu ndio ndini ya kweli maisha yote 👏
2026-10-05 12:30:18
19
Asha Masoud :
Allah ampe kauli thabiti
2026-10-04 19:43:08
9
Zay Fashion :
Aliamini kufa ni lazima na alijuwa mwishowake ulisha andikwa😢 Razi za Allah ziwe juu yake🤲🏻
2026-10-03 15:49:36
45
user4835160561667 Wahida :
Allah awafanyie wepesi mashujaa wetu inshaa allah
2026-10-03 15:39:20
20
user4258075429931 :
inalillahi waina ileyhi rajuun
hakuna atakaye Baki hii Dunia
Allah atupe husnul khatima Yarab
2026-10-05 12:01:26
5
Husna Shabani :
shujaa wa kweli ,allah, akuhifadhi
2026-10-03 16:58:57
6
SAMIRA HEALTH CONSULT :
Wallah nimejikuta machoz yananibubujika katika macho yangu mawili [Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed][Teary eyed] Ee Mwenyezmungu hakika wewe unajua anaedhulumu na anaedhulumiwa bas tunakuomba kheri na HAKKI katika uhai wetu. na waliodhulumiwa uhai wao Allah uwarahami. Allahumma Aamin yarabbulghalamin.
2026-10-05 08:41:35
5
TEACHER J. :
kila la kher Allah akujaalie makazi mema pepon😢
2026-10-03 19:45:10
12
Saidoo. :
Tena kibaya zaidi wali mnyonga siku ya Eid asubuhi tuna swali kweli hakutotokea Simba kama yy ALLAH ailaze roho yake pahali pema 🤲
2026-10-03 23:47:25
19
bint yahya :
Allah amrehem shujaa wetu🥰
2026-10-03 15:44:39
13
Rasmiah :
Allah ampe kauli thabiti, na amuangazie nour ktk kaburi lake🙏
2026-10-03 16:53:12
7
de cute hawa :
allah akbar allah ampe pepo inshaallah
2026-10-03 14:15:55
5
To see more videos from user @sekavu30, please go to the Tikwm
homepage.