@fycargotanzania: Chagua shipping route inayoendana na mzigo wako , kwa mizigo iliyo chini ya 20kg au 0.1 CBM chagua Sea parcel express au Air parcel express. Hakikisha umehakiki Bei na route ulioichagua kabla hauja wasilisha usafirishaji wako Follow @fycargotanzania kwa tips za shipping from China Tupigie au Whatsapp +255 698 068 996 +255740190937 #shipping #chinatotanzania #fycargo #logistics #tanzania
Sasa kama nimeshampa supplier address ya air alafu box likawa kubwa naamishiaje kwenye sea njia ya maj
2026-10-03 13:57:31
3
Chosen🌸🫧 :
Samhn kg moj mnachaj sh ngap
2026-10-03 16:36:28
4
raymer_hairstylist :
Jmn Fycargo mi naagiza apa vitu vyangu vya saloon naamini mtanifanyia wenyewe maana kila mkinielekeza mnanivuruga tu
2026-10-06 10:07:17
1
Fridah💜 :
hapo kwenye sehemu ya kuchagua route mbna sipaon jmn
2026-10-21 08:40:35
1
KANZU FASHION :
address yenu ya china?
2026-10-24 11:21:12
1
Gy :
Kwa meli ni siku ngapi??
2026-10-08 11:12:20
2
Canabaya Stambuli :
silent ocean ni best
2026-10-26 04:31:28
1
Fayza_nassor :
Znz mna agent
2026-10-08 14:46:10
2
Stella :
Shida ni nini jmn
2026-10-05 18:21:43
1
ShopLuckyGadget :
Shida yenu huwa hamjibu txt watsap
2026-10-05 01:46:38
3
icecream.ke :
Jibu dms
2026-10-28 14:22:39
0
KABINGO CARGO :
📦✈️TUNATUMA MIZIGO TANZANIA 🇹🇿 ↔️UTURUKI 🇹🇷
Unahitaji kutuma mzigo kwenda Uturuki au kutoka Uturuki kuja Tanzania? Tupo kwa ajili yako! 🤝
👕 Nguo | 👟 Viatu | 📦 Parcels | 🛍️Mizigo ya biashara
⚖️TUNATUMA MIZIGO HADI YA KILO 100KG
✈️Kwa ndege | 🚢 Kwa bahari
⚡ Haraka • Salama • Kwa Uaminifu
📞 🇹🇿 +255 0612194451
📞 🇹🇷 +90 551 495 3451
📲 Instagram & TikTok: Jimmy_kabingo
🔥 Wasiliana nasi sasa kwa quotation na maelezo zaidi!
2026-10-04 07:11:22
1
To see more videos from user @fycargotanzania, please go to the Tikwm
homepage.