yan mtumbwi wa vibwenge mwengine wanapiga kwenda mber wengine kwenda nyuma alafu unakwenda upande mmoja sasa sio kawaida lazima uwend mbele ndio unavyo takiwa kwenye kushangaa unajikuta juu ya mwamba na umezama
2026-10-04 12:54:10
1
lone wolf :
Ni mashetan kwahyo wanauwezo wa kukuletea mtumbwi na ukaona umepanda na watu wenzako sasa kati ya safari ndo wanaanza kukuonyesha miujiza na wanakuonyeshea maajabu yao
2026-10-03 17:17:37
3
Narish1111 :
Vijinn vifupi 😂😂
2026-10-09 06:59:01
0
Alfa lly :
tumbo tumbo😅😅
2026-10-05 22:12:26
1
follow :
ukionana nao wanakukimbiza [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-25 01:14:01
0
%🌹🌹Baby face%🌹🌹 :
vibwengo ni viumbe vya ajbu vifupiiii alfu sizan kma vina macho mm niliwah kutana navyo lkn ni mambo kma ya ushirikina hv na ukikutana navyo kwa ule mshtuko unapta homa yn unakuwa haupo sawa kbsa kiufupi vyatisha maana mm sikumbuki kma Wana macho kbsa cos nilizimia
2026-10-22 07:02:45
1
المجرب _👑 :
👌👌👌
2026-10-12 19:17:10
0
Aziza Shaik :
😂😂
2026-10-03 16:17:45
0
Sheby boy tz🇹🇿 :
🥰
2026-10-03 20:08:02
0
Mandonga Furniture :
🥰🥰🥰🥰
2026-10-03 14:23:47
0
Hussein asake :
tuombe mwisho mwema waislamu wenzangu 🤲🙏🙏 yarabi takabal dua 🤲🤲🙏
2026-10-14 05:16:09
0
To see more videos from user @chumber_68, please go to the Tikwm
homepage.