@drgreysonbabishomba: ⚠️ Mafuta ya kukaangia samaki au kuku yakitumika mara nyingi yanaweza kuharibika na kuwa hatari kwa afya.

Profesa Greyson Babishomba
Profesa Greyson Babishomba
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 13:41:59 GMT
90741
3642
179
479

Music

Download

Comments

detto.bei.cheeshop
Detto bei Chee shop :
nani anamuelewaga huyu jama
2026-10-03 16:31:00
38
user8205160693902
queen💕 :
which country is this
2026-10-10 17:49:27
0
ney_rais
Neema :
Hivi uyu ni dr kwel
2026-10-04 04:47:41
14
baronpierre77
PIERRE :
ukikurupuka mzee uwezi muelewa
2026-10-03 13:47:01
76
user3059239441488
ALHABIB ❤️ ❤️ :
hivi huyu jama anatuchukuliaje🤣🤣🤣
2026-10-03 17:04:03
32
user3497850283844
MUDATHIR :
saiv nakuelewa brow , zamani nlikua sikuelew
2026-10-03 19:09:10
16
kazi_kazini
Kazi kazini :
Bi nafsi nimekuelewa.
2026-10-03 17:37:28
10
chriss_noel
Chriss Noel :
Ukiwa unaharisha usimeze dawa ya usingizi
2026-10-04 06:56:11
2
user1371845611610
Diplomat :
Nakubali sana Dr Babishomba😅😅😂
2026-10-03 17:24:26
8
tarikially183
Tk beliver :
baba zaman ulikuwa uelewek ila sasa nakuelewa sana
2026-10-03 19:49:35
3
alexgaby609
Daddy Z :
kweli mifupa ya samaki kashiam nzur
2026-10-03 15:25:11
8
fadhilimafungwa
FADHILI ABDALLAH :
ivi aya mafuta ya #kolie kila siku ni kwanini yaendelee kuwepo wakati ni chanzo kikubwa cha matatizo mwilini?
2026-10-09 21:08:27
2
user31069232707313
roby :
yani uyu jamaa anasemaga ukweli ila sema anaonekana kama anatoa komedy iv
2026-10-04 07:04:41
4
hassannand136
hassan nand :
usituponze doctor
2026-10-03 17:06:57
8
omega.msigala5
Omega Msigala :
HUYU JAMAA NI WA KUMZINGATIA ANACHOKIONGEA HUWA KIPO SAHIHI
2026-10-04 21:40:22
1
rashidimashaka2
Ram the Boy :
Kuna watu hawajaelewa yaan kiufupi kwa madhara ya hayo mafuta kama itakulazimu ule samaki basi Bora ule mifupa kwausalama wako.ila kamaanisha usile hao samaki wanaokaangiwa na HAYO mafuta
2026-10-05 07:41:02
4
rukiakiguga175
Rukia Kiguga :
kweri kabisa
2026-10-03 17:32:51
3
user170210390777
quando rondo :
ukitak kumuelew siklz point yake na so maneno yak ya mwanzon
2026-10-03 21:33:33
4
daudmfikwa1
Dev!! :
sem ilijamaa kun mda linatema madin san
2026-10-03 18:44:18
9
ven.sks
SKS :
pa fridge hapo point sana
2026-10-03 18:28:51
3
adamkisari4
kisari :
2026-10-03 17:25:33
3
brunotamash
BAISA :
mwenetu keshapagawa😅😅
2026-10-03 20:53:17
4
mrmanaga921
MR MANAGA YAKO :
nachoka nata nihame Tanzania niende mwanza
2026-10-04 00:34:31
0
advertisertz
Mister never :
tunao sema uogo gonga hapa
2026-10-03 18:31:49
2
reginald_ngowi
REGINALD NGOWI :
au tumeze ndoano samaki tumtupe!
2026-10-03 19:42:11
1
To see more videos from user @drgreysonbabishomba, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About