HIII MOVIE KIBOKO IKITOKA SEASON YA 2 NIJULISHEN WAKUUUU
2026-10-04 04:39:55
6
neymore lifestory :
name of the movie plz
2026-10-03 22:25:52
0
kebyera :
narudia kusema kumpa hela mwanaume kwangu haiwezekani
2026-10-04 11:44:06
11
Rofrey The cute :
unajitoa kwa moyo wote mwisho wa siku jamaa akijipata anakutupa chini anatafut wa hadhi zake
2026-10-04 05:02:22
38
Kontena Tanzania. :
story bwana
2026-10-04 09:13:28
0
Hellen🦋 :
Naumia sana nikionaga mwanaume anapitia ivii mda mwengn naogop kupokea hata buku yao 😔
2026-10-03 19:51:04
62
Tico Young :
hii movie inaitwaje 😂😂
2026-10-03 18:56:14
25
🥰Paulina💫 :
Unaweza ukamsapot mwanaume kwa kila kitu Lakn mwisho wa siku akijipata anasahau upendo uliompenda kwa dhati anakudharau 💔
2026-10-03 23:07:41
20
rayzer_24✝️ :
Hawa ni malaika kutoka mbinguni wanachati 😂😂
2026-10-03 20:19:21
38
Munira :
Mnapendwaga vizur tu mkiwa na shida halaf mkishajipata mnatuona kama vile hatunaga akili
2026-10-04 04:59:05
13
Neynaan :
next plz 🥺🥺
2026-10-04 09:44:03
0
Anney💞💦🤍👄🌹 :
next please
2026-10-04 13:39:07
0
-!Mungo💢JR :
hii movie naijua bana[Tears of joy]
2026-10-03 17:14:16
0
Christian Rwekaza :
Nimejitahidi kusoma huku nikisindikizwa na wimbo, na nimeimaliza story, kidogo nilie kiukweli...!! kwa maana nimekumbuka nilivoamua kumuacha Mwanamke niliyekuwa nampenda sana, na niliyekuwa na(feel satsfied) nikiwa naye kwa sababu ya kuona nitampotezea muda tu kulingana na maisha nilokuwepo nayo by that moment...!!
Bro, tulia, pambana, tengeneza maisha...!!💪🫂
2026-10-04 13:30:17
1
GloryG💞 :
me nlkuwa mwanamke mwema sana tena sana nimefanya zaidi ya hayo lakini naishia kulipwa mabaya tena mabaya sana naumia ila basi tu MUNGU atanipa chaguo langu na mm
2026-10-03 19:35:44
21
LUKA'S :
nauliza tena kwa mala nyingine mwanamke kama huyu yupo wapi 🫵
2026-10-04 07:50:56
3
gson :
fety huyu huyu au
2026-10-04 04:16:20
2
Mrs ✨P✨Og🦋 :
ni Fetty tu na Mimi ndio tumebarikiwa huo upendo😅😅🙌🙌
2026-10-03 18:49:39
7
𝐒𝐀𝐌 :
hii movie gan 😂
2026-10-04 06:23:04
0
maestro :
nilipata kama huyo ila ayupo tena Rest easy Miriam 🥺🥺
2026-10-04 10:03:33
4
Musa Norbeth :
Hii ni ai
2026-10-03 22:01:15
0
Geki10 :
hiyo movie kwa saiz hawapo
2026-10-04 08:35:09
0
happymgeta :
hakika ni za Kwetu
2026-10-04 04:37:48
1
phatty :
hapo zamani za kale[Big LOL]
2026-10-03 22:03:49
2
NgoniBw@y :
Ulianza vizuri umeharibu mwishoni [Tears of joy]
2026-10-04 04:36:52
1
To see more videos from user @gressimohelson, please go to the Tikwm
homepage.