@evamrema2: Baadhi ya wanaume hufanya maamuzi mabaya yachochewayo na Hali ya kisaikolojia ya kuamini utambulisho wao umevamiwa mara Tu MKE asalitipo. Wengine huchochewa na maswali ya WIVU kwa sababu mwanaume akioa kiasili ni kammiliki mwanamke. "MKE wake NI Mali yake" kwanini MTU mwingine auguse, aikamate au aikule Mali yake? Mauti huanzia HAPA. #evamrema #trendingnow #trendingreelsvideo #trending
kiukweli wadada wengi wangekuwa na bahati ya kukutega skiyo kwa makini bila kufananisha haki ndoa zingetuliya sana shida dada zetu waliyo wengi wamesha jitenga mbali ukoo na maadili ambayo yanawahusu 😔😔
2026-10-04 11:13:54
2
my family :
uko sahihi sana
2026-10-04 05:15:33
1
G4real :
Icho kitabu ulichoshika shingp
2026-10-03 15:56:15
3
EMBAIXADOR DE CRISTO :
mwanaume na mwananke ni watu wawili tafaut
2026-10-03 18:55:36
2
Kimath Lello :
Siku Mungu aliniumba namshukuru mno Mungu wangu. Haiko siku nimewahi kuwaza nijiue kisa mwanamke na haitokaa itokee, asante Mungu kwakuwa mimi ulinitendea haki.
2026-10-04 10:53:08
1
Nehemia :
[Red heart]Ni kweli na ndicho kinacho endelea kwa sasa.
2026-10-06 08:44:24
1
Dream Teams :
shida iko pale ambapo mwanaume akisaliti yeye ni tatizo na Bado mwanamke akisaliti mwanaume Bado anaonekana ni tatizo. jamii hua haimuoni mwanamke kama tatizo akisaliti ila itaonekana shida imeanzia kwa mwanaume. wanasahau kua usaliti ni uamuzi na sio umesababishiwa na fulani
2026-10-04 12:02:58
1
Nahana :
Allah atusaidie
2026-10-03 14:43:26
2
400 MAWOZO :
KABISA
2026-10-03 16:01:23
1
Lee classic :
True saying..huh !!
2026-10-04 07:09:05
1
Shaban Joya :
good
2026-10-04 12:59:04
0
African..π :
well said ✋
2026-10-05 20:27:00
2
ramadhanhusseinibrahim :
dada ngoja nikupe code ila usimwambie mtu mwingine kiukweli kwa ssi wanaume kinachotutiga hasira ni,gharama ukikumbuka unavyo jinyima ili mpnz apendeze mwisho w siku unasikia kuna mchizi anamega lazma uchanganyikewe kabisa
2026-10-04 04:46:15
1
Jackson Simon :
mwanaume kinachomletea shida sio kwasababu kasalitiwa mwanaume kinanachomuuma sana yeye huwekeza Kwa Kwa mwanamke anajinyiama anashindwa kusaidia ndugu zake Kwa sababu ya mke wake anatumia gharama kubwa Kwa mwanamke ndio maana anakuwa na uchungu sana so mwanamke ata akisalitiwa yeye Hana Cha kupoteza ndio maana uchungu wake sio mkubwa vaa viatu mwanamke uwe unamuhudumia mwanaume Kwa kila kitu alafu uyo mwanaume akusaliti usikilizie hayo maumivu yake
2026-10-03 20:16:33
2
To see more videos from user @evamrema2, please go to the Tikwm
homepage.