Na bado sote tunaoza na kutowa harufu asante Mungu
2026-10-03 18:54:19
3
naaommy🥰 :
lakini wote tunakuwa chakula ya mchwa,Mungu fundi sana
2026-10-03 17:00:14
26
Chris✅️ :
It's not true, Just an Ai 😂😂😂
2026-10-03 18:31:03
1
Shauri Moyo :
some time we are to need remember that every one people we are to pass in this world 🌎
2026-10-03 16:35:51
0
triviana :
ni kuwapa kaz TU wachimbaj
2026-10-03 16:52:26
4
Bagaju nine :
natafuta kijana anayeweza kuendesha gari usiku [Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-03 15:46:12
17
@Shad :
sio kweli si gali c angenipa me jaman[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-03 17:29:34
0
The God'sarmy :
Why burry him inside the car
2026-10-03 17:08:35
0
neyjonas :
ila tumerud mavumbin tu
2026-10-03 17:41:06
2
jenipha tatu :
ila nyinyi mnapenda kujiamulia mambo mm gari kama hilo sijawahi ata kuligusa ila leo naona linaingia kaburini jaman🥺🥺😢😢
2026-10-03 16:07:31
4
ikelyadende :
polen sanq wapedqa
2026-10-03 16:08:55
2
MRS SAHIL❤️🩹🇹🇿🇴🇲💍🔏 :
Anae zikwa kwa gar na mie ninae zikwa na sanda sawa sawa malaika wale wale 2
2026-10-03 16:54:54
3
❣️Official Jj😍🤎 :
lakin wote tunafunikwa na udongo
2026-10-03 17:27:26
1
Lizzy _ munga :
tumuombe mungu atupe mwisho mwema
2026-10-03 17:25:40
1
cute_vivy :
hii ni ai
2026-10-03 16:47:33
2
Brasius officially 💫 :
kwani hatooza ama!
2026-10-03 16:19:44
2
Jeni boniphace Hassan :
sasa huo mchanga wa nini tena kwenye gari langu jaman kunipa kazi mara 2 tu jamn sasa nitoe mchang na jeneza ndo nipate gar kweli mpo serios[Laugh approved][Laugh approved][Laugh approved]
2026-10-03 16:31:27
0
alfredkondowe278 :
kwamba ukizikwa na gari hauozi? tajiri ni mmoja tu, ambaye hata mauti inamtii, alikufa lakini siku ya tatu akafufuka, ameketi Mkono wa kuume wa ukuu huko Mbinguni, vitu vyote amevitiisha chini ya miguu yake, oooh haleluyaaaaaaaaaaaaaaaa!!!