@lutystar3: KILIO CHANGU Part 75 Usiku huu Dorian na Nadia wanaanza mazungumzo ambayo yanaweza kubadilisha kabisa maisha yao. ❤️ Baada ya kugundua kuwa mtoto anakuja, swali moja kubwa linaibuka… Dorian na Nadia watajenga maisha yao kwa misingi gani? Na mtoto wao atalelewa katika mazingira gani? Lakini Dorian anaamua kutokurupuka kutoa jibu. #africanstories #lutystar #storytime #creatorsearchinsights #plottwiststhatkeepviewersin

Lutystar
Lutystar
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 15:05:58 GMT
25252
3246
73
117

Music

Download

Comments

cornelthomas8
UNITED🕳️ :
mimba ni tatizo skuiz[Tears of joy][Tears of joy]
2026-10-03 15:20:11
1
ladydee5336
Ladydee♥️♥️ :
Hiv ni mm tuu au na nyie pia hamumuelew huyu madam 😳😳😳
2026-10-03 15:17:06
15
sedekia.mollel1
M🔥 🔥 :
huyu madam namuonea 18 ameanza kufall in love kwa dorian
2026-10-03 15:33:16
4
user2595231981798
kavugho rachele :
uyu Madame anataka nini mi sitaki ivyo Dorian niwa nadia
2026-10-03 15:26:41
3
clevotz
clevotz :
HR kashamuelewa Dorian
2026-10-03 15:22:59
3
ee.mungu.nakupend
official jay holly sprite 🤫 :
mungu awabaliki san
2026-10-03 15:09:57
2
kisiwa.cha.upweke
KISIWA CHA UPWEKE :
pole kwa kucherewa
2026-10-03 15:17:11
0
ombeni.manegabe
Omb legrand :
nihi vinjo nadia bilianzaka
2026-10-03 15:50:06
2
getrude.gerald
Miss Kitundu :
ya leo imepoaaa, hlf dorian me cjapenda bhna kupeana mimba bila ndoa 🤔😒
2026-10-03 15:37:17
2
aalyah6677
Aalyah#❤ :
next
2026-10-03 15:23:16
2
omy12347
omy@1234 :
madam anautaka
2026-10-03 15:52:44
1
didas.selenga
Didas selenga :
c'est bien
2026-10-03 15:19:40
1
user631137212257
Nyamongo Da G collection :
Mbona nyie wahusika mwachelewa kupost afu...tunapata kwa watu wngn afu ujumbe ni huo huo
2026-10-03 15:45:38
1
manog8723
ManoG :
bom trabalho
2026-10-03 17:30:35
0
mugisha806
Mary 💫✨ :
hii movie imejaa useriasi mwingi sana
2026-10-03 17:07:02
0
esther.francine74
Esther Francine :
madame pole ule ni mume wamtu😳
2026-10-03 17:19:38
0
alifariala
ali af :
la suite svp
2026-10-03 16:50:55
0
aldegonde94
Aldegonde :
next
2026-10-03 15:21:18
1
hasna1940
sweet fabiani :
mmmh aya sawa
2026-10-03 16:11:02
0
user27990076152719290
9932 :
muendelezo
2026-10-03 16:17:29
0
official.janeth62
Janedolly💭😻 :
Enjoy jaman 😭
2026-10-03 18:09:40
0
official.janeth62
Janedolly💭😻 :
Yan Dorian akibadili dini 😁 story writer naomba unblock 😁
2026-10-03 18:06:07
1
may.ally5
may ally :
Next
2026-10-03 16:29:05
0
user3779423941760
Ruth sorota :
next
2026-10-03 16:45:45
0
shyoe4
shyoe4 :
Mwendelezo
2026-10-03 15:17:17
0
To see more videos from user @lutystar3, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About