mchango ulikuw shingap natak kujuw haiwezekan nilishwe miguu ya kuku
2026-11-12 12:35:15
1
mamu :
mi ugali hapana kwenye shughuli ata kama stata ntaweka nsizi mishikaki au nyama choma ndo ugali
2026-10-04 05:26:05
21
lucyprinces1 :
mm hapana kwa kwel
2026-10-04 13:25:52
10
Kd :
mm ni huyo niliokota na mkono kuongezea,,,,chezea mchango 🤣🤣
2026-11-13 13:05:30
1
Ray macake :
Nani kaanzisha habar za ugali jmn kigoma isifike
2026-10-19 20:46:25
10
mariamkamilo947 :
[Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy][Tears of joy]ugali shughulini hpn tn big NO
2026-10-05 11:20:46
2
tarickkabandika :
NGOJA NITAFUTE MENU MPYAAA UGALI TOSHA
2026-10-04 02:12:48
13
sarahwa ibrah :
mm chkula cha foleni huwa sili kabisa haijalishi nimechanga kiasi gani tulienda kwenye mahafari ya mwanangu akihitimu la saba tukachanga vizur tu ilipofika kwenye kula et pangeni foleni weee mbona nilikaa pembeni
2026-10-17 10:00:41
1
rummyto💋 :
Aaahh NEVERRRRR🙌🏾🙌🏾
2026-11-12 17:58:50
0
Da mimah :
Nyoshi huu ugar umelika saa ngp
Mna jambo langu. Nataka kuandaa hicho chakula
2026-10-04 07:26:30
2
SILENT GAL🖤 :
safi sana kwa wapenda ugali
2026-10-04 17:00:47
2
leah 💞💕❤️ :
Ustaarbu hamna
2026-10-04 14:20:55
2
fildausi ukasha :
halaf kitambaa mita 3 ..👉30000
2026-10-04 16:13:54
2
Kipepeo🧚🏼♀️ :
Aiii ningekulaaa 😊👌🏻
2026-10-04 18:08:10
1
MamaD Catering and Decoration :
Kwa Anadai Yao niwalevi,
2026-10-04 06:35:38
1
izma cute :
mambo ninayoyapenda
2026-10-04 11:45:07
1
Fetty adam :
safi mambo yangu haya jaman
2026-10-04 09:56:37
1
🥰 babra❤️ :
Nikimbie ugali nyumbn alaf kwenye shughul nije nile bora mniuwe to kuliko kula🤣
2026-10-05 17:14:56
1
Cutez_mkazy🥰 :
m nachkua mboga tu
2026-11-11 14:02:55
1
Najma kigara :
ugali pambe
2026-11-13 12:21:06
0
Te nassor :
Mwiko unachota nyama vizuri ila ukitaka kuweka kwenye sahani unatetemeka nyama zinaanguka😂
2026-11-13 12:00:32
0
Neila Michael :
nilijua niss tu wasukuma
2026-11-13 15:07:33
0
user20437384274826 :
wamekomeshwa
2026-11-12 13:28:46
0
To see more videos from user @nyoshistudio, please go to the Tikwm
homepage.