@she.is.happyness: Kama wewe ni startup founder, au una rafiki mwenye startup, please share this opportunity with them! Serikali imetenga TSh 5 BILLION kwa ajili ya kuwawezesha startups za TEHAMA, na loans range from TSh 1M hadi 100M depending on the criteria. One of the processes is kuhakikisha startup yako imesajiliwa Jamii Hunt. Just Google Jamii Hunt, register your startup, and follow the application process. Usiishie kusoma tu, share na startup founder mwingine. 🚀 #startups #tiktoktanzania🇹🇿 #digitalinnovation #fypシ #trending

Ms. Shirima
Ms. Shirima
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 15:19:18 GMT
4410
254
11
54

Music

Download

Comments

backyoworldwide
Its Backyo :
ipo bado hii
2026-10-03 20:16:46
1
reggie_msofe
Reggie_. :
this is good
2026-10-09 14:40:49
1
coldtheobaddominick
T H E O 🇹🇿 :
ni personal au company
2026-10-10 11:53:59
0
chrissally0
Chriss Ally :
jamii hunt ni web Nipatie link samahan
2026-10-14 19:25:57
0
innohc7
innohc :
kikundi cha watu wangapi?
2026-10-14 13:07:27
0
astra_honey
It's honey :
unajisajili vipi
2026-10-12 11:34:23
0
call_meice1
hamadimzirahi :
vigezo vyakupat mkopo
2026-10-11 11:48:37
0
To see more videos from user @she.is.happyness, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About