Kaka wew ni deep thinker bro akili yako itunze endelea kufundisha watu wasipo kuelewa hawata helewa tena 😂 naomba niongezee kitu " brain ya mwanadam iko attracted na new things na ikishapata ile familiarity ina i discard then it looks for something else to explore Nakunukuu (NOVELTY)which meas thats an endless cycle thats why tamaa za mwili muonekano kwa mwanamke at a certain time zina fade but amani (peace of mind )can't easily be replaced 🔨🔨🔨🔨
2026-10-03 17:51:37
2
sharon😄 novenine :
higher iq
2026-10-03 23:39:36
0
Abdallah Ally :
sijaacha video yako ata moja.. zoooote nimedowload
2026-10-03 15:57:18
2
vastry-son øf vikings :
me ata nikishaanza kumtongoza tu mzl akaonesha anatakabkukubali bc namuona wa kawaida sijui kwann
2026-10-03 19:43:17
3
zabron kufungile :
naomba unipe ushauri kuna mwanamke nimempa mimba lakini kanibrock Kibaya zaidi kwao sipajui
2026-10-03 15:56:23
3
Isaya Makoo :
broo wewe noma mungu akubaliki
2026-10-03 18:11:40
3
OSMAN_47 :
Kwel bro tupe code
2026-10-03 15:48:26
2
❤️❤️ :
hiii namtumia inbox ndo ajue kinacho musumbua
2026-10-03 16:39:52
1
mouzo_og :
nakubali Sana kaka
2026-10-03 17:40:28
1
Alex Njozi :
kwaeshima kaka ni kweli
2026-10-03 15:51:37
2
ISSACK BOY 🥂 :
daa kaka kuna kipindi nilikua ivo kabisa mungu akulinde sijawai jutia kuku follow 🥺