@islamicswahilinet: TUMIA DUA HII KUISHINDA NAFSI YAKO NA KUTOFUATA MATAMANIO YA NAFSI اللَّهُمَّ إِنِّي أَعُوذُ بِكَ مِنْ مُنْكَرَاتِ الأَخْلاَقِ وَالأَعْمَالِ وَالأَهْوَاءِ "Allahumma inni a'udhu bika min munkaratil-akhlaq, wal-a'mal, wal-ahwa'." "Ewe Mola, nakuomba unilinde kutokana na mabaya na maovu yanayopatikana katika tabia, na katika vitendo, na katika matamanio (ya nafsi)." Assalaamu Alaikum Warahmatullaahi Wabarakaatuh Mtume Muhammad ﷺ amesema: “Mwenye kumjengea Allah msikiti, Allah atamjengea nyumba mfano wake Peponi.” (Bukhari na Muslim). Hii ni fursa adhimu ya kushiriki katika kujenga na kukamilisha Nyumba ya Allah iliyopo Utengule, Wilaya ya Kilolo, Mkoa wa Iringa. Kila tofali, mfuko wa saruji, mchanga, kokoto au shilingi utakayotoa kwa ajili ya ujenzi huu ni sehemu ya Sadaka Jariyah, ambayo thawabu zake zinaweza kuendelea kunufaisha waumini hata baada ya maisha yetu duniani. 🤲🏽 Usidharau kidogo unachoweza kutoa. Huenda kile kidogo unachokitoa kwa ikhlasi kikawa sababu ya kupata malipo makubwa kutoka kwa Allah سبحانه وتعالى. Tushiriki katika ujenzi wa Nyumba hii ya Allah kwa kadiri ya uwezo wetu, ili iwe sehemu ya kuswali, kumdhukuru Allah na kuwafundisha vizazi vijavyo. Kwa anayependa kushiriki, unaweza kutuma mchango wako kupitia M-PESA: 0769 756 490, YAS | MIX: 0715 868 990, HALOPESA: 0619 115 190. Jina: MUDATHIR ISSA YOYOTA. #islamicswahilinet

Islamic Swahili NET
Islamic Swahili NET
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 03 October 2026 15:49:48 GMT
34780
5812
5
431

Music

Download

Comments

mimer_fresh
mimer_fresh :
Allahumma inni a’udhubika min mukarati akhlaqi wal aabali wal akhwa
2026-10-03 15:56:53
39
eljabir001
صابر محمد شريف :
اللهم إني أعوذ بك من منكرات الأخلاق والأعمال والأهواء
2026-10-03 18:32:23
14
sharifasalim33
shasafood8 :
m najua uyu shkh ana nafas moja ya kuengeza mke s aje anioe
2026-10-03 17:12:55
4
bodyglowdetox
BODY GLOW&DETOX :
Allahummah inni A'udhubika min mukaraatil akhlaqi wal a'amali wal akhwa 🤲
2026-10-03 19:28:40
4
user2158617566991
mumish :
S.A.W
2026-10-03 19:26:09
1
amiryusuf575
Amir Yusuf :
Alhamdulillah Rabul Allah min 😍🥰😘
2026-10-03 20:47:44
1
queeness_usher23
Queeness_Usher23 :
ameen
2026-10-03 20:24:29
1
user6000638661638
@Digobae🦋🦋🦋 001 :
Amiin ya rabbi
2026-10-03 16:00:50
2
marshmallow_143_
Ummu ipty💕 :
Amiiin
2026-10-04 03:51:42
0
adam_mutego_abdou
ᴀᴅᴀᴍ ᴍ ᴀʙᴅᴏᴜ tv :
Allahuma amin
2026-10-03 20:13:53
1
boyka254varane
DHIII 10 :
Allahumma inni a’udhubika min mukarati akhlaqi wal aabali wal akhwa
2026-10-03 19:21:16
2
ibrahimbor8
ibra :
amin
2026-10-04 02:12:05
0
dizaro.vina7
hajra omar :
Allahu.mma
2026-10-03 19:26:00
1
mamu.seifu1
Mamu Seifu :
Amini Allahuma Amini
2026-10-04 01:43:11
0
qwindarling1
don't mess with tiya❤️‍🩹 :
scwscw
2026-10-03 22:34:28
0
dedema31
Dedema :
Amiin
2026-10-03 23:28:00
0
queen.aisha3807
queen.aisha3807 :
🤲
2026-10-03 22:46:14
0
razackyazid62
razacki :
Allah
2026-10-03 16:00:27
0
user5778761660883
is haqa :
amiin
2026-10-04 03:57:12
0
user1551859611233
shazla💕 :
mashallah
2026-10-03 21:58:44
0
muhammadali713254
Muhammad Ali :
Allah Akbar
2026-10-03 22:34:13
0
xoxojamy0
xoxo :
amin inshallah
2026-10-03 22:13:33
0
maryannuur001
Ms Daud :
Amin
2026-10-03 22:09:57
0
mpalistina.fahmy
Mpalistina Fahmy :
Amin Amin ya Rabi mungu wetu 🤲
2026-10-03 22:05:39
0
mwanaishavuai998
Mwanaisha Vuai :
amiin ahsante sana
2026-10-03 16:23:45
0
To see more videos from user @islamicswahilinet, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About